Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjenga nchi ndiye mbomoaji huyohuyo
unamaanisha nn mkuu
yaaani kichwa cha habari hakijasadifu yaliyomo mi nilijua mambo yetu yale
Huyo mbunge ni kama traffic police wao hawavai helmet vichwa vyao tofauti na siehelment ??????!!!!!!!!!
wanavunja sheria
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.
Kama unakwenda Ausha bora upande bus sasa tena linakukuta Mbezi mwisho kabisa maana ukiongeza na ku-check in masaa 9 na saa moja na nusu angani inafika masaa 11 wakati bus masaa 7 hivi upo Arusha na unakuwa umekagua shughuli za maendeleo kwa kuangalia mandhariWiki lililopita nimemsindikiza jamaa yangu alikua anakwenda Norway kutoka mwenge mpaka kuikuta tazara ilituchua karibu masaa matatu.Kama unataka kwenda airport ondoka kwako masaa 7 kabla.
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.