ShyRose Banji mitaani na bodaboda, ni mtu wa WATU?

Huyu si mtu wa watu na awezi kuwa mtu wa watu, wewe humjui shyrose.
 
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.

Kumbe unaujua usanii wa Lumumba.
 
Anakimbia foleni inayosababishwa na uzembe wa chama chake...
 
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.

Ni kama ambavyo mzee fulani anaenda kwenye misiba wanamwita mtu wa watu
 
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.

Gari nimemuona
 
Nao wabunge wa kike wanauza sura pia. Tumpe pole na wala tusimshangae!
 
Kumdanganya m-Tz ni zoezi dogo sana duh mpaka raha kua kiongozi hii nchi.
 
Traffik mko wapi? Mkamateni huyu alivunja sheria. Kitendo cha kutovaa helmet dreva na abiria ni kosa
 
Wiki lililopita nimemsindikiza jamaa yangu alikua anakwenda Norway kutoka mwenge mpaka kuikuta tazara ilituchua karibu masaa matatu.Kama unataka kwenda airport ondoka kwako masaa 7 kabla.

na kama unakwenda zenji heri uende na boti utafuka mapema kuliko ndege
 
vijana arusha wamepewa bodaboda
 
Kwahiyo mwendesha boda walau amefaidi kiasi chake joto,harufu ya pafyumu naaa...

huenda hata namba ameachiwa, ukizingatiwa mlengwa ni mdau wa ving'asti
 
»Naona Gari lake kaliacha kwa jaffarai yeye kachukua bodaboda za Shoppers anawahi airport(Kwa mujibu wa magazeti ya leo)
»Huyu dada anakaa Mabwepande au Mbweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…