Si ajabu Lissu akishinda uenyekiti, CHADEMA kikafutiwa usajili 🤣

Nimewaza tu,kama ni kweli kwamba Lisu amegoma kabisa kulamba asali anataka nini basi?

Yaani anafanya siasa kwa lengo gani kama lengo lake sio kulamba asali?

Kiukweli naona nyota nyota tu🤣🤣🤣🤣🤣
Angelamba kama vile alivyofanya saccos owner,
 
Kama Vyama vya Upinzani vinaogopa kuukabili utawala wa kiimla wa CCM na Serikali yake kwa kuogopa kufungiwa basi vyama hivyo HAVITUFAI.
 
yanini kulambishwa asali kwenye kijiko wakati kuna pipa zima limejaa asali..yaami wahuni wana billioni 25 alafu eti wanakupoza billioni 2 tu ili usiwabughuzi si bora upambane ukaumiliki ww huo mzinga.
Ulichojibu ndo uhalisia.
 
Fortilo huu wito unawahusu sana wa aina yenu!
Hizi ni wishes za wanaharakati

Siku zote wanaona wanacheleweshwa

Kupambana kama mabeberu.

Hiyo sio siasa brother... Lakini hakuna mtu amezuiwa kufanya anachotaka kufanya hii ni nchi huru.

Platform zipo nyingi sana...

Hawa Diaspora wa SyW wanataka wawe wanaangalia watu wakiuwawa kwenye TV na kuandikia barua USAID na DFID 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…