Si ajabu tunawazika kwa heshima wale walio machukizo mbele za Mungu

Tunawazika Kikristu wale ambao walionesha kwa matendo yao kuuishi Ukristu: suala la kwamba wadhambi au siyo wadhambi siyo letu, ni la Mungu.
Kwa maana hiyo Kama mtu aliishi kwa matendo ya kikristo Ila baadae akijiua Basi anahaki ya kuzikwa kikristo kwa kuwa nyie wenyewe mmesema "suala la kuwa ni wadhambi au Sio wadhambi ni la Mungu"Sasa nyie kukataa kumzika ni kuingilia majukumu ya Mungu
 
Wangapi wanajiuwa na kuzikwa?,asilimia kubwa watu wengi wanajiuwa taratibu bila kujua je Nayo ni dhambi,?mfano wanaokimbiza pikipiki/magari/walevi n.k nao wasizikwe?,je na yule anayekunywa /sumu au kujinyonga na kuokolewa awekwe kundi gani?
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa ajali na nia ya kujiua.
 
Umeongea vizuri,ila neno la Mungu linasema ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu Kama bendera zitakuwa nyeupe Kama theluji...je kwenye biblia Kuna sehe mu pameonyeshwa mtu aliyetenda dhambi ya mauaji hasameheki?
Soma Mathayo 12:31

Blasphemy against the Holy Spirit ni pamoja na kuukatia tamaa wokovu kwa kujiua.
 
Kwa maana hiyo Kama mtu aliishi kwa matendo ya kikristo Ila baadae akijiua Basi anahaki ya kuzikwa kikristo kwa kuwa nyie wenyewe mmesema "suala la kuwa ni wadhambi au Sio wadhambi ni la Mungu"Sasa nyie kukataa kumzika ni kuingilia majukumu ya Mungu
Kujinyonga ni tendo linalofuta matendo yote ya Kikristu aliyoyaishi mhusika for eternity.
 
Tuwekee maandiko.
 
Kwahiyo kutokuamini kuwa kitu hakipo kunafanya kitu hicho kutokuwepo?
Kama kitu kipo na ukawa na uhakika basi hutakua na sababu ya kuamini kua kipo kwasababu ushajua kwa uhakika na unaweza kuthibitisha pasi na shaka uwepo wa hicho kitu

Kwaiyo kutuambia kitu flani kipo eti kwasababu imani yako imekushawishi uamini hivyo, hiyo haitoi mwanya kufikia hitimisho juu ya madai yako kua ni kweli. Kwasababu ni jambo ambalo huwezi kulithibitisha kwa uhakika. Na kama huwezi kulithibitisha bila kuacha shaka tutakubsliana vipi kua kitu hicho ni kweli kipo na sio kwamba ni invention uliyoitengeneza kichwani mwako tu?
 
Amina hao wanaojiita Rc wanahc pepo ni yao peke yao na kuhic wakikusalia unaenda mbinguni
 

Kwani pombe ni dhambi kwa wakatoliki?! Toka lini ikawa ni dhambi ?! Mbona ma padre wanakunywa tu ?! Embu nielewesheni I’m confused here[emoji854]
 
Kwanini hii mada umeileta leo?
 
Bro we ina kuhusu nini ikiwa mtu amegomban na mungu wake.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mwanzo wa habari yako nimeupenda sana kwasababu unaakisi uhalisia wa changamoto zinazojitokeza huku mitaani. Ila tangu ulipoingiza dhana ya "malaika" hapo nimeanza kupata mashaka dhidi ya mkasa wako kua ni finction.
Mkuu Karibu
Bro we ina kuhusu nini ikiwa mtu amegomban na mungu wake.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Broo kwani kuna shida ?
 
Zile sala na maombi huwa nizawaliobaki, hivi bila kuwa na Sheria na taratibu tungekuwaje huku mtaani na majumbani? Sheria na taratibu lazima ziwepo!
Sheria lazima ziwepo lakin just imagine wahenga wetu waliozaliwa bila kujua kanisa waliishije.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…