Si ajabu tunawazika kwa heshima wale walio machukizo mbele za Mungu

Sheria za Kanisa zipo wazi kabisa.

Kujiua ni dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu. Hakuna sababu inayoweza kuhalalisha dhambi ya kujinyonga/kujiua. Huyo Padre wako anapaswa kushtakiwa kwa Baba Askofu Liberatus (wa Jimbo lake).

Kuhusu mtu kumzika kama anastahili au hastahili tunaangalia maisha yake kama yaliakisi utayari wake wa kuuishi Ukristo. Ukizikwa Kikristu siyo ishara ya kwenda mbinguni kama ambavyo usipozikwa Kikristu siyo uthibitisho wa kwenda motoni.

Tunawazika Kikristu wale ambao walionesha kwa matendo yao kuuishi Ukristu: suala la kwamba wadhambi au siyo wadhambi siyo letu, ni la Mungu.

Kwahiyo usipotoshe hapa. Kujiua ni dhambi ya mauaji, ni dhambi ya mauti. Kujinyonga ni kumkufuru Roho Mtakatifu na ni dhambi ambayo haisameheki Mbinguni na Duniani.
Kujiua ni andiko na agano, kila MTU atakufa kwa alichopangiwa,we unazani MTU anajinyonga akiwa na akili timamu?hakuna anaeweza kujinyonga akiwa na akili timamu,
 
Kimekosa uthibitisho kuwa kipo sasa unapingaje hakipo wakati wewe ndiye uliyeshindwa kuthibitisha uwepo wake?
ili kitu kiweze kuwepo kinahitaji sifa gani?

Labda kipo sababu kimekosa uthibitisho wake na sio kwamba hakipo kisa wewe umekosa uthibitisho.
Hilo mi silipingi, Kuna vitu vinaweza vikawepo na haviwezi kuthibitishwa kama vipo.

Vile vile kuna vitu havipo na haviwezekani kuthibitishwa kama havipo

Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?

Utasemaje ni fiction wakati umeshindwa kuthibitisha kama kipo na umeshindwa kuthibitisha kama hakipo.

Kushindwa kuthibitisha uwepo wa kitu haimaanishi kwamba kitu hicho hakipo sababu mwenye tatizo ni wewe uliyeshindwa kuthibitisha kama kipo na ukichangia pia umeshindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa hicho kitu.

Nikikuambia unithibitishie uwepo wa mama mwenye umri wa miaka mitano aliyezaa watoto sita waliopishana miaka minne kila mtoto utaweza?

Kwaiyo ukishindwa hiyo itaonesha kwamba mwenye tatizo ni wewe uliyeshindwa ku prove na sio hiko kitu kwamba ni fiction?

Nitakuuliza wewe umejuaje?
Nimejua kwasababu uthibitisho wake ukiwa dar jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi.

Utakataa kwamba sio kweli jua halichomozi upande wa mashariki na kuzama magharibi ukiwa mkoa wa dar?

Kama ni kweli jua huchomoza mahariki na kuzama magharibi na ndio uthibitisho niliodai mimi kua unaonesha chupa ya plastic iko kati kati ya jua, je utakubaliana na huo uthibitisho kua chupa hiyo ipo?

Ukikataa, nitakuuliza inamaana unakataa kwamba asubuhi jua halichomozi mashariki na kuzama magharibi?

Halafu pia nitakuambia kama unabisha thibitisha chupa hiyo haipo, vinginevyo pingamizi lako litaingia kwenye kundi la zile hoja ambazo zimeshindwa kuthibitisha kitu hakipo na hiyo kutofanya kitu hicho kisiwepo, Maana tushaona tatizo ni wewe.

Kwanini nithibitishe kwamba mungu yupo wakati hakuna sehemu niliandika kwamba mungu yupo au hayupo?
Najua kwamba hakuna sehemu umeandika hivyo ila si mbaya kama ukashea na sisi unachokijua

Mungu yupo au hayupo?

Sasa mimi hakuna sehemu ambayo nimesema kwamba mungu yupo au hayupo ila wewe ndio umesema hayupo tena kwa sababu yako ndogo kwamba umeshindwa kuthibitisha uwepo wake.
Sawa huko kwangu tushatoka, na nimekiri hujasema chochote kuhusu uwepo/kutokuwepo kwa mungu

Sasa tunarejea kwako. Nini maoni yako juu ya uwepo wa Mungu?

Unakubali kua Mungu yupo?

Inabidi uthibitishe kutokuwepo kwake na sio kisa umeshindwa kuthibitisha basi unakuja na simple conclusion kwamba hayupo.
Kabla sijafika huko nataka nijue wewe uko upande gani.

Kwasababu kama una hoji kujua kutokuwepo kwa kitu wakati kitu hicho wewe hukijui na huna uhakika nacho wala elimu nacho hapo utanipa mi wakati mgumu kukuelewesha hata nikikupa jibu kwasababu hutaweza kung'amua kua jibu ulilopewa ni sahihi

Kwaiyo tuanzie hapo. Wewe unakubali kua Mungu yupo?

Sasa thibitisha kwamba mungu hayupo.

Nikikuambia tayari nimethibitisha, we utajuaje kwamba huu ni uthibitisho?

Kwanini nikatae na kwanini nikubali kitu ambacho hakina uthibitisho?
we umejishughulisha vipi mpaka umefikia hitimisho kua hakuna uthibitisho?

Unaweza kuthibitisha kwamba hakuna uthibitisho?
 
Kujiua ni andiko na agano, kila MTU atakufa kwa alichopangiwa,we unazani MTU anajinyonga akiwa na akili timamu?hakuna anaeweza kujinyonga akiwa na akili timamu,
▪︎ Mungu hujipinga? Kwamba akuambie kuua dhambi halafu wakati huohuo akupangie kujiua?
▪︎ Je, watu wote wasio na akili timamu hujinyonga?
▪︎ Je, imeandikwa wapi kwamba watu wajinyonge wanapokosa akili timamu?
▪︎ Je, Mungu aliagana na nani kuhusu kujinyonga?
▪︎ Unamaanisha nini unaposema akili timamu?
 
ili kitu kiweze kuwepo kinahitaji sifa gani?
Kina hitaji sifa ya "uwepo".
Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?
Muulize aliyesema hivyo yeye amejuaje kama kipo.
Nikikuambia unithibitishie uwepo wa mama mwenye umri wa miaka mitano aliyezaa watoto sita waliopishana miaka minne kila mtoto utaweza?
Ndio sitoweza kuthibitisha ila still kuna sababu zilizofanya hilo lisithibitishike.

Sababu za kushindwa kuthibitisha:
Mtu mwenye miaka mitano hawezi kupewa cheo cha "mama" sababu ni mtoto na mtoto hawezi kuzaa watoto sita waliopishana miaka minne ilihali yeye ana miaka mitano. Pia sababu yeye viungo vyake havitoweza kufanya hivyo.
Na mtu mwenye miaka mitano hawezi kutungisha mimba.

Nimetoa sababu za kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo mama na sio kwamba kisa nimeshindwa kuthibitisha basi huyo mama hayupo.

Kwaiyo ukishindwa hiyo itaonesha kwamba mwenye tatizo ni wewe uliyeshindwa ku prove na sio hiko kitu kwamba ni fiction?
Hapana tatizo sio langu kwamba nimeshindwa sababu tayari nimetoa sababu za kwanini nimeshindwa kuthibitisha na sio kwamba huyo mama hayupo.

Mwenye tatizo ni yule anayesema hayupo bila sababu.
Nimejua kwasababu uthibitisho wake ukiwa dar jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi.
Unaweza kuthibitisha kwamba jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi?

Pia kuna uhusiano gani kati ya jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi na kuwepo kwa chupa katikati ya jua
Kama ni kweli jua huchomoza mahariki na kuzama magharibi na ndio uthibitisho niliodai mimi kua unaonesha chupa ya plastic iko kati kati ya jua, je utakubaliana na
Hapana sababu bado hujathibitisha kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi.
Na bado hujajibu kuna uhusiano gani kati ya kuchomoza kwa jua mashariki na kuzama magharibi.

Ukikataa, nitakuuliza inamaana unakataa kwamba asubuhi jua halichomozi mashariki na kuzama magharibi?
Hapana mimi sijakataa bali nimekuuliza wewe umejuaje then ukajibu sababu jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi nikakuuliza tena unaweza kuthibitisha kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi?

Pia nikakuuliza tena kuna uhusiano gani kati ya kuchomoza kwa jua mashariki na kuzama magharibi?

Na Hakuna sehemu nimekataa ulichosema
Halafu pia nitakuambia kama unabisha thibitisha chupa hiyo haipo, vinginevyo pingamizi lako litaingia kwenye kundi la zile hoja ambazo zimeshindwa kuthibitisha kitu hakipo na hiyo kutofanya kitu hicho kisiwepo, Maana tushaona tatizo ni wewe.
Hapa sijabisha bali nimekuuliza wewe umejuaje kuhusu uwepo wa chupa ya chai katikati ya jua.
Nikikuambia tayari nimethibitisha, we utajuaje kwamba huu ni uthibitisho?
Onyesha huo uthibitisho na uthibitishe kwamba huo uthibitisho ni uthibitisho.
we umejishughulisha vipi mpaka umefikia hitimisho kua hakuna uthibitisho?
Wewe ndio ulisema hivi
Unataka kuniambia wewe utakubali kila kitu utachoambiwa kwamba kipo as long as hakutakua na uthibitisho wa kuonesha kua kitu hicho hakipo?

Alafu ukaniuliza hivi
Unaweza kuthibitisha kwamba hakuna uthibitisho?
Hivyo wewe ndo wa kuthibitisha kama hakuna uthibitisho.
Kabla sijafika huko nataka nijue wewe uko upande gani.

Kwasababu kama una hoji kujua kutokuwepo kwa kitu wakati kitu hicho wewe hukijui na huna uhakika nacho wala elimu nacho hapo utanipa mi wakati mgumu kukuelewesha hata nikikupa jibu kwasababu hutaweza kung'amua kua jibu ulilopewa ni sahihi

Kwaiyo tuanzie hapo. Wewe unakubali kua Mungu yupo?
Haiwezekani kukataa au kukubali kitu ambacho kimeshindikana kuthibitishika kama kipo au hakipo.
 
Kina hitaji sifa ya "uwepo".
Sifa ya "uwepo" unaipimaje?

Muulize aliyesema hivyo yeye amejuaje kama kipo.
Nakuuliza wewe ambaye unajadilana na mimi.

Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?

Ndio sitoweza kuthibitisha ila still kuna sababu zilizofanya hilo lisithibitishike.

Sababu za kushindwa kuthibitisha:
Mtu mwenye miaka mitano hawezi kupewa cheo cha "mama" sababu ni mtoto na mtoto hawezi kuzaa watoto sita waliopishana miaka minne ilihali yeye ana miaka mitano. Pia sababu yeye viungo vyake havitoweza kufanya hivyo.
Na mtu mwenye miaka mitano hawezi kutungisha mimba.

Kwanza hapa umetumia msingi wa contradiction kutengeneza hoja yako ambayo umeifanya isimame kama uthibitisho

Kuonesha mtoto wa maiaka mitano kazaa watoto wenye umri mkubwa kuzidi yeye hiyo ni pure contradiction. Hapo ni mambo mawili ambayo yanapingana na uhalisia hivyo kuyaunganisha ili kuleta maana moja ndipo mkanganyiko unapoonekana

Sasa tukisema mungu mwenye upendo wote, mjuzi wa yote na uwezo wote hayupo hua tunafata kanuni hiyo hiyo (contradiction)

Katika ulimwengu wenye vifo, magonjwa ya mlipuko, masunami, matetemeko ambayo yanaua hadi vichanga. Ulimwengu huo unaonesha wazi kabisa kua haujaumbwa na mungu mwenye sifa hizo.

Kukubali uwepo wa mungu huyo inakua huna tofauti na anayekubali uwepo wa mama mwenye maiak mitano

Nimetoa sababu za kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo mama na sio kwamba kisa nimeshindwa kuthibitisha basi huyo mama hayupo.
kwasababu umeshindwa kuthibitisha kwahiyo mama huyo mwenye sifa hizo yupo?

Hapana tatizo sio langu kwamba nimeshindwa sababu tayari nimetoa sababu za kwanini nimeshindwa kuthibitisha na sio kwamba huyo mama hayupo.
Kwaiyo unakubali mama huyu yupo?

Mwenye tatizo ni yule anayesema hayupo bila sababu.
Hapa hatuhitaji sababu ya wewe kwanini ushindwe kuthibitisha kitu flani kua hakipo

Tunahitaji sababu kujua kwanini kisichopo hakipo.

Unaweza kuthibitisha kwamba jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi?
Kabla sijakujibu nataka nijue unalijua jua? Unazijua hizpo pande mbili nilizokutajia mashariki na magharibi?

Pia kuna uhusiano gani kati ya jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi na kuwepo kwa chupa katikati ya jua
Uhusiano wake ni Kwasababu chupa hiyo ipo kati kati ya jua.

Hapana sababu bado hujathibitisha kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi.
Na bado hujajibu kuna uhusiano gani kati ya kuchomoza kwa jua mashariki na kuzama magharibi.

Hapana mimi sijakataa bali nimekuuliza wewe umejuaje then ukajibu sababu jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi nikakuuliza tena unaweza kuthibitisha kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi?

Pia nikakuuliza tena kuna uhusiano gani kati ya kuchomoza kwa jua mashariki na kuzama magharibi?

Na Hakuna sehemu nimekataa ulichosema
Hapo juu nimeyajibu na kukuachia maswali ya ufunguzi, yapitie kisha urejee hoja yangu

Hapa sijabisha bali nimekuuliza wewe umejuaje kuhusu uwepo wa chupa ya chai katikati ya jua.
Nimekujibu, nimejua hilo kupitia mfumo wa jua kuzama magharibi na kuchomoza mashariki

Onyesha huo uthibitisho na uthibitishe kwamba huo uthibitisho ni uthibitisho.
We unataka uthibitisho gani upewe ambao utakubalianan nao

Mbona nishakuonesha uthibitisho na namna unavyothibitisha?

Unaweza ukathibitisha kua uthibitisho huo sio uthibitisho?

Wewe ndio ulisema hivi
Nataka maono yako wewe

Alafu ukaniuliza hivi
Halafu hukujibu kitu

Hivyo wewe ndo wa kuthibitisha kama hakuna uthibitisho.
Nikakuuliza. Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?

Haiwezekani kukataa au kukubali kitu ambacho kimeshindikana kuthibitishika kama kipo au hakipo.
Hujajibu swali

Unakubali kua mungu yupo au unakataa?
 
Sifa ya "uwepo" unaipimaje
Ni Pale utakapopata kujua uwepo kama upo.
Nakuuliza wewe ambaye unajadilana na mimi.

Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?
Sasa utaniulizaje mimi ambaye sijakwambia hayo maneno.

Huyo aliyekwambia ndio anajua siri ya alichokwambia.
Kuonesha mtoto wa maiaka mitano kazaa watoto wenye umri mkubwa kuzidi yeye hiyo ni pure contradiction.
Haiwezi kuwa contradiction.

Unaposema mama mwenye miaka mitano maana yake unaongelea muda, muda ambao umetokana na dunia kuzunguka jua.

Sasa labda huyo mama hayupo hapa duniani yupo kwenye sayari na nyota tofauti na dunia na jua.

Labda hiyo sayari kuzunguka nyota yake miaka 5 duniani kwake ni miaka 52 hivyo kuzaa watoto 6 waliopishana miaka 4 inawezekana.

Considering hujasema huyo mama yupo sayari gani.
Hapo ni mambo mawili ambayo yanapingana na uhalisia hivyo kuyaunganisha ili kuleta maana moja ndipo mkanganyiko unapoonekana
uhalisia ni nini?
Kuonesha mtoto wa maiaka mitano kazaa watoto wenye umri mkubwa
Hakuna contradiction.s

Kukubali uwepo wa mungu huyo inakua huna tofauti na anayekubali uwepo wa mama mwenye maiak mitano
Sijakubali wala sijakataa kuhusu uwepo wa mungu.
kwasababu umeshindwa kuthibitisha kwahiyo mama huyo mwenye sifa hizo yupo?
Kushindwa kuthibitisha hamainishi kwamba hayupo au yupo.

Siwezi nikasema yupo au hayupo wakati nimeshindwa kuthibitisha uwepo wake na sio kwamba hayupo.
S
Kwaiyo unakubali mama huyu yupo?
"Sijui" sababu sijathibitisha uwepo wake.
Hapa hatuhitaji sababu ya wewe kwanini ushindwe kuthibitisha kitu flani kua hakipo

Tunahitaji sababu kujua kwanini kisichopo hakipo.
Utasemaje hakipo wakati umeshindwa kuthibitisha?
Kabla sijakujibu nataka nijue unalijua jua? Unazijua hizpo pande mbili nilizokutajia mashariki na magharibi
Haijarishi najua ama sijui.

Unaweza kuthibitisha kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi?
Uhusiano wake ni Kwasababu chupa hiyo ipo kati kati ya jua.
Kwako neno uhusiano lina maana gani?

Au unajibu kitu ambacho hukielewi?
Nimekujibu, nimejua hilo kupitia mfumo wa jua kuzama magharibi na kuchomoza mashariki
Unajibu jibu ambalo umeulizwa bila kujibu swali.
We unataka uthibitisho gani upewe ambao utakubalianan nao

Mbona nishakuonesha uthibitisho na namna unavyothibitisha?

Unaweza ukathibitisha kua uthibitisho huo sio uthibitisho?
Ndio; sababu sio uthibitisho.
Unakubali kua mungu yupo au unakataa?
Siwezi nikakataa au kukubali kitu ambacho hakijathibitishwa.
 
Ni Pale utakapopata kujua uwepo kama upo.
Swali halijauliza kama ukipata kujua uwepo utajuaje kama uwepo upo

Swali limehoji unawezaje kupima sifa ya uwepo

Sasa utaniulizaje mimi ambaye sijakwambia hayo maneno.
Kwanini usiulizwe?

Mbona we ndiye uliyeanza kwa kuingilia hoja isiyokuhusu kwa kuniuliza maswali kwenye hoja ambayo nilikua namjibu mwingine?

Mbona mimi sikukuambia kwamba hayo maswali nimemuuliza mtu mwingine kwaiyo hayo maswali yako sipaswi kujibu?

Huyo aliyekwambia ndio anajua siri ya alichokwambia.
Kama unajua kua huyo mtu anajua kwanini hukufanya busara ya kukaa pembeni ujifunze maarifa mapya kutoka kwake na badala yake ukaingilia mjadala katikati huku ukijua huwezi kujibu maswali?

Iweje we uwe huru kuniuliza maswali ambayo mimi sikuwekei mipaka kwamba majibu yake yako kwa mtu mwingine halafu wewe uniwekee mimi mipaka kwa kuchagua aina fulani fulani ya maswali unayotaka wewe kuyajibu?

Hiyo ni double standards

Hujajibu swali hili

Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?

Haiwezi kuwa contradiction.
Weka uthibitisho

Unaposema mama mwenye miaka mitano maana yake unaongelea muda, muda ambao umetokana na dunia kuzunguka jua.
Hii sio kweli

Napoongelea mama mwenye miaka mitano naongelea mtu mwenye jinsia ya kike na sio muda

Tukubaliane kwanza hapo

Sasa labda huyo mama hayupo hapa duniani yupo kwenye sayari na nyota tofauti na dunia na jua.
Thibitisha hayupo

Thibitisha kwamba yupo sayari zingine

Labda hiyo sayari kuzunguka nyota yake miaka 5 duniani kwake ni miaka 52 hivyo kuzaa watoto 6 waliopishana miaka 4 inawezekana.
Hii umeitoa kule kwenye ile fallacy uliyoibuni kichwani kwa lengo la kujilengesha kwenye jibu la uongo ulilo li-target

Sitegemei kuona nguzo imara kwenye msingi mbovu

Considering hujasema huyo mama yupo sayari gani.
Alikadharika hujathibitisha hayupo sayari gani.

Umefanya jitihada gani za kutafiti kuthibitisha uwepo juu ya huyo mama katika sayari ambayo mimi na wewe tumo?

uhalisia ni nini?
Hali halisi inayothibitishika

Hakuna contradiction.s
Kivipi?

Sijakubali wala sijakataa kuhusu uwepo wa mungu.
Namimi nataka kujua uko upande upi maana kuna maswali nataka nikuulize ambayo yanategemeana na namna unavyo yaelewa haya mambo

Kushindwa kuthibitisha hamainishi kwamba hayupo au yupo.
Hilo nimekuuliza huko nyuma

Nimekubalina na hoja yako, kwamba kitu kinaweza kikawa kipo ila tu kukawa hakuna uthibitisho wa kuonesha kitu hicho kipo

Vile vile kuna vitu ambavyo havipo na haviwezekani kuthibitishwa havipo au vipo

Sasa Kitu ambacho hakiwezi kuthibitishwa kwamba kipo mtu akikwambia kipo, utajuaje kama kipo au hakipo?

Siwezi nikasema yupo au hayupo wakati nimeshindwa kuthibitisha uwepo wake na sio kwamba hayupo.
Kwa maana hiyo hujui chochote?

"Sijui" sababu sijathibitisha uwepo wake.
Kwanini hujathibitisha?

Thibitisha sasa

Utasemaje hakipo wakati umeshindwa kuthibitisha?
Kwasababu nataka kujua kwa anaye sema kipo

Kimantiki huwezi kuthibitisha kisichopo kua hakipo kwa.

Mzigo upo mabegani mwa yule anayedai kua kitu kipo.

Mtu anayesema kitu fulani hakipo dhidi ya madai fulani yanayo elezea kua kipo, tafsiri yake ni kwamba anakupa mwanya wa wewe unayedai kitu hicho kipo uweze kuthibitisha.

Au hoja ulizotoa dhidi ya hicho unachokidai kua kipo zina udhaifu unaoleta shika juu ya uwepo wake na hivyo opponent kutoafikiana na hoja yako kwa kukuambia hicho kitu hakipo kwa mujibu wa maelezo uliyompa

Kwaiyo utajua kuambiwa kitu hakipo sometimes kunaweza kuleta tafsiri kua Hiyo ni challenge ikimtaka mleta madai anayesema kitu kipo aongeze nyama kwenye hoja zake

Haijarishi najua ama sijui.
Inajalisha

Kwanini udai uthibitisho kwa kitu ambacho hukijui ni nini?

Na nina uhakika gani kwamba ukipewa uthibitisho utaelewa kwamba huu ni uthibitisho wa hiki nilichokiomba?

Nikikuambia kwamba nimekupa uthibitisho ila kutokana na kutojali kwako kujua au kutokujua kumesababisha usijue kua umejibiwa. utanipingaje?

Unaweza kuthibitisha kama jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi?
Kwanini unadai uthibitisho kwenye mambo ambayo hujayapa kipaumbele kwa kujari kuyajua au kuto yajua?

Kwako neno uhusiano lina maana gani?
Kama ambavyo imefafanuliwa katika kamusi ya kiswahili

Au unajibu kitu ambacho hukielewi?
Hiyo inathibitisha nini?

Unajuaje kwamba sikielewi na sio kwamba nakielewa kwa mtindo ambao wewe hukielewi?

Unajibu jibu ambalo umeulizwa bila kujibu swali.
Nimekujibu, nimejua hilo kupitia mfumo wa jua kuzama magharibi na kuchomoza mashariki

Ndio; sababu sio uthibitisho.
Thibitisha kwamba sio uthibitisho

Siwezi nikakataa au kukubali kitu ambacho hakijathibitishwa.
Hapo juu umekubali kua unaweza kuthibitisha uthibitisho niliokupa sio uthibitisho, lakini hujathibitisha.

Nataka uthibitishe
 
Swali halijauliza kama ukipata kujua uwepo utajuaje kama uwepo upo

Swali limehoji unawezaje kupima sifa ya uwepo
una uhakika gani kwamba nilichoandika sio jibu?
Mbona mimi sikukuambia kwamba hayo maswali nimemuuliza mtu mwingine kwaiyo hayo maswali yako sipaswi kujibu?
huu mfano wako hauingiliani hata kidogo na nilichondika.
Iweje we uwe huru kuniuliza maswali ambayo mimi sikuwekei mipaka kwamba majibu yake yako kwa mtu mwingine halafu wewe uniwekee mimi mipaka kwa kuchagua aina fulani fulani ya maswali unayotaka wewe kuyajibu?
hakuna sehemu nimekuwekea mpaka kama ipo ionyeshe hapa.

sasa unaongea vitu ambavyo huna uhakika navyo kama vipo au havipo.
Napoongelea mama mwenye miaka mitano naongelea mtu mwenye jinsia ya kike na sio muda
mama mwenye [miaka mitano].. sasa utasemaje [miaka mitano] sio muda?

hiyo nimekuonesha jinsi gani swali lako halijafafanuliwa?
Weka uthibitisho
nishaweka.
Kwanini hujathibitisha?

Thibitisha sasa
nilishatoa sababu kwanini sijathibitisha.
Kwasababu nataka kujua kwa anaye sema kipo
namimi nataka kujua kwa anayesema hakipo amejuaje hakipo na ulishasema huwezi kuthibitisha kisichopo hakipo.
Kimantiki huwezi kuthibitisha kisichopo kua hakipo
sasa kwanini unasema hakipo wakati hakipo?
umejuaje kisichopo hakipo?
Hii umeitoa kule kwenye ile fallacy uliyoibuni kichwani kwa lengo la kujilengesha kwenye jibu la uongo ulilo li-target
umejuaje ni nimebuni kichwani wakati huo ndio uhalisia wa swali ulilouliza bila kufafanuwa ulichouliza.

au ulikuwa na majibu yako kichwani?
Alikadharika hujathibitisha hayupo sayari gani.

Umefanya jitihada gani za kutafiti kuthibitisha uwepo juu ya huyo mama katika sayari ambayo mimi na wewe tumo?
sababu hujasema yupo sayari gani?

au kuna sehemu ulisema yupo sayari ambayo mimi na wewe tupo?

kama ipo weka hapa.
Hali halisi inayothibitishika
wewe utajuaje uhalisia na kisicho uhalisia?
Kwa maana hiyo hujui chochote?
wewe nikikwambia ndani ya boksi kuna paka utakubali utakataa?

au utasema hayupo sababu humuoni huyo paka aliye ndani ya boksi?
Nikikuambia kwamba nimekupa uthibitisho ila kutokana na kutojali kwako kujua au kutokujua kumesababisha usijue kua umejibiwa. utanipingaje?
toa sasa huo uthibitisho.
Kwanini unadai uthibitisho kwenye mambo ambayo hujayapa kipaumbele kwa kujari kuyajua au kuto yajua?
utasemaje sijayapa kipaumbele wakati nimekuuliza kuhusu hayo mambo ambayo sijayapa kipaumbele?
Kama ambavyo imefafanuliwa katika kamusi ya kiswahili
una uhakika gani kila mtu anajua kuhusu kilichopo
ndani ya kamusi ya Kiswahili?
Unajuaje kwamba sikielewi na sio kwamba nakielewa kwa mtindo ambao wewe hukielewi?
wapi nimesema hukielewi?

nimesema au unajibu kitu ambacho ukielewi? na sijasema hukielewi.

inaonesha wewe hauko makini na unachokiandika.
Thibitisha kwamba sio uthibitisho
sababu sio uthibitisho.
Hapo juu umekubali kua unaweza kuthibitisha uthibitisho niliokupa sio uthibitisho, lakini hujathibitisha.

Nataka uthibitishe
hakuna sehemu nimeandika hivyo kama Ipo weka nione…?

sasa jibu unapingaje kisichopo hakipo na hujui kama kipo au hakipo?
 
una uhakika gani kwamba nilichoandika sio jibu?
Nishajibu

huu mfano wako hauingiliani hata kidogo na nilichondika.
Unahakika gani kwamba nilichokiandika hakija taja sababu kuonesha sio jibu?

hakuna sehemu nimekuwekea mpaka kama ipo ionyeshe hapa.

kama ndio hivyo Jibu maswali ambayo uliyahamishia kwa mtu mwingine

sasa unaongea vitu ambavyo huna uhakika navyo kama vipo au havipo.
Mimi nawewe nani mwenye hana uhakika ambaye anaongelea vitu ambavyo hajui vipo au havipo?

Unaweza ukajibu hili swali kuthibitisha kwamba unaongelea vitu ambavyo unajua vipo au havipo...."Mungu yupo au hayupo?"

mama mwenye [miaka mitano].. sasa utasemaje [miaka mitano] sio muda?
Mama mwenye miaka mitano anabadilikaje kutoka kwenye utu kwenda kwenye muda?

hiyo nimekuonesha jinsi gani swali lako halijafafanuliwa?
Hilo sio swali langu, kutakua kuna mtu ambaye ulikua unajadiliana naye kuhusu maswala ya muda umejichanganya ukajua ni mimi

Mimi hoja yangu inahusu mama mwenye umri wa miaka mitano kuwa na watoto sita. Nielewe vizuri nukta hiyo

nishaweka.
Umewaka wapi?

nilishatoa sababu kwanini sijathibitisha.
Hazijajitosheleza

namimi nataka kujua kwa anayesema hakipo amejuaje hakipo na ulishasema huwezi kuthibitisha kisichopo hakipo.
Ni kwasababu hakipo na ndio maana uthibitisho haupo, kwa kutokuwepo kwake ni uthibitisho kwamba hakipo

sasa kwanini unasema hakipo wakati hakipo?
umejuaje kisichopo hakipo?
Ni kwasababu hakipo na ushahidi kuonesha hakipo haupo ndio maana nasema hakipo, kingekuwepo ningesema kipo kwasababu nimethibitisha kimantiki na kujihakikishia kipo

umejuaje ni nimebuni kichwani wakati huo ndio uhalisia wa swali ulilouliza bila kufafanuwa ulichouliza.
Utajuaje kwamba hiki ni kinyesi pasipo kuonja? Hivi ndivyo namna swali lako linavyo sound

au ulikuwa na majibu yako kichwani?
Haya nayo ni mawazo yako kichwani

sababu hujasema yupo sayari gani?
Kwani ni sayari gani ambayo watu wapo?

au kuna sehemu ulisema yupo sayari ambayo mimi na wewe tupo?
Kokote kule, hiyo ni kazi yako unatakiwa utafiti utuletee majibu tujue kivipi mama huyo hayupo

kama ipo weka hapa.
Hiyo ni kazi ya wewe mthibitishaji unatakiwa ufanya analysis ujue ni sayari gani yupo au hayupo.

wewe utajuaje uhalisia na kisicho uhalisia?
Kuthibitishika na kutithibitisha ndio mzani wake

wewe nikikwambia ndani ya boksi kuna paka utakubali utakataa?
Ntakuuliza Box ni nini na paka ni nini?

au utasema hayupo sababu humuoni huyo paka aliye ndani ya boksi?
Kwanini niseme hivyo?

toa sasa huo uthibitisho.
Unajuje kama sijatoa?

utasemaje sijayapa kipaumbele wakati nimekuuliza kuhusu hayo mambo ambayo sijayapa kipaumbele?
Ungeyapa kipaumbele ungesema huyajari kujua au kutoyaju?

Kwani kuuliza kuhusu jambo fulani ni lazima kuoneshe kwamba jambo hilo umelipa kipaumbele?

Unaweza ukauliza kitu kuhusu hayo mambo na usiwe na kipaumbele nayo, ukauliza tu kwasababu ni hoja ambayo iko mbele yako na hujataka kusema imekushinda kwasababu haujari kujua au kutojua jambo hilo

una uhakika gani kila mtu anajua kuhusu kilichopo

Kwani wapi nimekuambia nina uhakika kila mtu anajua kuhusu kilichopo?

wapi nimesema hukielewi?
Kwani wapi nimesema wewe umesema mimi sikielewi?

nimesema au unajibu kitu ambacho ukielewi? na sijasema hukielewi.
Nami nimekujibu, unajuaje kwamba sikielewi na sio kwamba nakielewa katika mfumo ambao wewe haukielewi?

inaonesha wewe hauko makini na unachokiandika.
Inawezekana naandika mambo makubwa ambayo kichwa chako hakijafikia uwezo wa kuyang'amua

sababu sio uthibitisho.

Hiyo ni circular reasoning
Kusema sababu sio uthibitisho ndio sababu ya kuonesha uthibitisho sio uthibitisho, hiyo ni fallacy

Thibitisha kwamba sio uthibitisho

hakuna sehemu nimeandika hivyo kama Ipo weka nione…?
Unauthibitisho gani kwamba hakuna?

sasa jibu unapingaje kisichopo hakipo na hujui kama kipo au hakipo?
Nikikuambia nimekujibu utasemaje?
 
Nishajibu
Weka sehemu inayoonyesha umejibu.
Unahakika gani kwamba nilichokiandika hakija taja sababu kuonesha sio jibu?
Nitaonesha vipi sababu ya kutokuwa jibu wakati hujajibu.

Jibu sasa.
Unaweza ukajibu hili swali kuthibitisha kwamba unaongelea vitu ambavyo unajua vipo au havipo..
Ndo maana nimekuuliza

Unawezaje kusema kitu hakipo kama hakipo?

Huoni wewe ndio unayeongelea vitu ambavyo hujui kama vipo au havipo.

Sababu umeshindwa kujibu

Utasemaje kitu ambacho hakipo, hakipo na ulishasema hakipo?

Na umeshindwa kujibu uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa kushindwa kuthibitisha.
Mama mwenye miaka mitano anabadilikaje kutoka kwenye utu kwenda kwenye muda?
Miaka ni nini?
Mimi hoja yangu inahusu mama mwenye umri wa miaka mitano kuwa na watoto sita.
Nishajibu Inawezekana ndio.

Kwanini isiwezekane?
Umewaka wapi?
nimeweka Post number #68
Hazijajitosheleza
Hazijajitosheleza kivipi?
Ni kwasababu hakipo na ndio maana uthibitisho haupo, kwa kutokuwepo kwake ni uthibitisho kwamba hakipo
Una uhakika gani hakipo na sio kwamba wewe umeshindwa kuthibitisha uwepo wake?

kingekuwepo ningesema kipo kwasababu nimethibitisha kimantiki na kujihakikishia kipo
Sasa una uhakika gani kwamba wewe ndiye uliyeshindwa kuthibitisha uwepo wake?
Na sio hakipo?
Haya nayo ni mawazo yako kichwani
Hayo ni mawazo yako kichwani.
Kwani ni sayari gani ambayo watu wapo?
Dunia
Kokote kule, hiyo ni kazi yako unatakiwa utafiti utuletee majibu
Nishaleta majibu.
Hiyo ni kazi ya wewe mthibitishaji unatakiwa ufanya analysis ujue ni sayari gani yupo au hayupo.
Nishajibu.
Kuthibitishika na kutithibitisha ndio mzani wake
Kwahiyo ukishindwa kuthibitisha inathibitisha vipi hakipo?
Ntakuuliza Box ni nini na paka ni nini?
Unaona sasa?

Nilijua lazima ushindwe kujibu.

Sasa still unasema mungu hayupo na hujui kama hayupo au yupo.sa
Kwanini niseme hivyo?
Sababu hujui kama huyo paka yupo au hayupo ndani ya box.
Unajuje kama sijatoa?
Sababu hujatoa huo uthibitisho.ni
Ungeyapa kipaumbele ungesema huyajari kujua au kutoyaju?
Nimeyapa kipaumbele na ndio maana nimeuliza.
Kwani kuuliza kuhusu jambo fulani ni lazima kuoneshe kwamba jambo hilo umelipa kipaumbele?
Ndio.
Unaweza ukauliza kitu kuhusu hayo mambo na usiwe na kipaumbele nayo, ukauliza tu kwasababu ni hoja ambayo iko mbele yako na hujataka kusema imekushinda kwasababu haujari kujua au kutojua jambo hilo
Hata wewe mwenyewe umekiri kwamba (Inawezekana).
Maana yake huna uhakika na ulichoandika.

Kwani wapi nimekuambia nina uhakika kila mtu anajua kuhusu kilichopo?
Sasa kwanini useme definition yake kama ilivyo kwenye kamusi ya kiswahili?
Kwani wapi nimesema wewe umesema mimi sikielewi?
Post number #69.
Nami nimekujibu, unajuaje kwamba sikielewi na sio kwamba nakielewa katika mfumo ambao wewe haukielewi?
Kwani wapi nimesema hukielewi?
Inawezekana naandika mambo makubwa ambayo kichwa chako hakijafikia uwezo wa kuyang'amua
Inawezekana lakini hauna uhakika kama ulichoandika ni kweli au si kweli.

Inawezekana ulichoandika kinatokana na hisia na si reality.

Hiyo ni circular reasoning
Kusema sababu sio uthibitisho ndio sababu ya kuonesha uthibitisho sio uthibitisho, hiyo ni fallacy
Now umejicontradict mwenyewe.

Sasa kwanini na wewe useme kitu fulani hakipo sababu hakipo na ulishasema hakipo?
Thibitisha kwamba sio uthibitisho
Haiwezekani kuthibitisha kisicho uthibitisho kwamba si uthibitisho.sa
Unauthibitisho gani kwamba hakuna?
Sababu hujaweka huo uthibitisho.
Nikikuambia nimekujibu utasemaje?
Hujanijibu.
 
Weka sehemu inayoonyesha umejibu.
Nikuwekee mara ngapi?

Nitaonesha vipi sababu ya kutokuwa jibu wakati hujajibu.
Unahakika gani kama sijajibu?

Jibu sasa.
Mara ngapi?

Ndo maana nimekuuliza

Unawezaje kusema kitu hakipo kama hakipo?

Huoni wewe ndio unayeongelea vitu ambavyo hujui kama vipo au havipo.
Hujajibu swali hili

Unaweza ukajibu hili swali kuthibitisha kwamba unaongelea vitu ambavyo unajua vipo au havipo...."Mungu yupo au hayupo?"

Sababu umeshindwa kujibu
Unahakika gani kama nimeshindwa kujibu na sio umejibiwa ila kutokana na kwamba upeo wako wa kuelewa majibu ni mdogo hujaelewa jibu?

Utasemaje kitu ambacho hakipo, hakipo na ulishasema hakipo?
Utasemaje uthibitishiwe hakipo, kitu ambacho umeambiwa hakipo?

Na umeshindwa kujibu uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa kushindwa kuthibitisha.
Kushindwa kwangu kuonesha hakipo pia ni moja ya uthibitisho kuonesha hakipo

Miaka ni nini?
Hujaweka kipaumbele kujali kuyajua au kuto yajua mambo, hivyo sina sababu ya kujibu swali lako

Nishajibu Inawezekana ndio.
Target ya Swali sio kuuliza kuwezekana au kuto kuwezekana.

Target ya swali inakutaka uthibitishe

Kwanini isiwezekane?
Thibitisha

nimeweka Post number #68
Nimetafuta sijaona naomba uniwekee hapa hiyo nukuu

Hazijajitosheleza kivipi?
Kuwa uthibitisho

Una uhakika gani hakipo na sio kwamba wewe umeshindwa kuthibitisha uwepo wake?
Ni kwasababu hakipo, ndio maana uthibitisho kuonesha kipo au hakipo ni haupo

Sasa una uhakika gani kwamba wewe ndiye uliyeshindwa kuthibitisha uwepo wake?
Na sio hakipo?
We unahakika gani kama sijakuthibitishia hapa kua hakipo?

Hayo ni mawazo yako kichwani.
Sasa we ulitaka yawe ya nani?

Umefanya research kwenye dunia ukamkosa?

Nishaleta majibu.
Umenitajia jina la sayari, ila hujathibitisha uwepo wa huyo mama kwaiyo bado hujajibu swali langu

Nishajibu.
Kisha thibitisha

Kwahiyo ukishindwa kuthibitisha inathibitisha vipi hakipo?
Nakusubiri uthibitishe huyo mama mwenye miaka mitano aliyezaa watoto sita yupo au hayupo

Halafu baada ya hapo tutajua inathibitisha vipi

Unaona sasa?

Nilijua lazima ushindwe kujibu.

Sasa still unasema mungu hayupo na hujui kama hayupo au yupo.sa
Mwalimu wako anapokupa maswali uyajibu hiyo inamaana kwamba hajui majibu ya hicho anachokuuliza?

Sababu hujui kama huyo paka yupo au hayupo ndani ya box.
Umejuaje kwamba sijui?

Sababu hujatoa huo uthibitisho.ni
Sijatoa uthibitisho au hujafikia kiwango cha kujua uthibitisho endapo ukipewa?

Nimeyapa kipaumbele na ndio maana nimeuliza.
Nakwasababu hujali kuyajua au kuto yajua hustahili kujibiwa

Sio kweli

Hata wewe mwenyewe umekiri kwamba (Inawezekana).
Maana yake huna uhakika na ulichoandika.
Wapi nimeandika katika hoja yangu hapo "inawezekana"

Sasa kwanini useme definition yake kama ilivyo kwenye kamusi ya kiswahili?
Weka link au screenshot ya definition yako

Post number #69.
Weka nukuu ya ulichokisema

Kwani wapi nimesema hukielewi?
Swali halijaishia hapo na ndio maana huelewi makinika tena ujue shabaha ya hoja yangu

Nami nimekujibu, unajuaje kwamba sikielewi na sio kwamba nakielewa katika mfumo ambao wewe haukielewi?

Inawezekana lakini hauna uhakika kama ulichoandika ni kweli au si kweli.

Inawezekana ulichoandika kinatokana na hisia na si reality.
Ikiwa ubongo wako hauna uwezo wa kuchambua mambo makubwa utawezaje kujua uhakika juu ya mambo yaliyo kuzidi?

Now umejicontradict mwenyewe.

Sasa kwanini na wewe useme kitu fulani hakipo sababu hakipo na ulishasema hakipo?
Makinika na hoja kwanza kabla hujai criticize otherwise kila kitu utaona ni contradiction

Kusema "kitu fulani hakipo kwasababu hakipo" baada ya kuambiwa uthibitishe hakipo ni hoja tofauti na mtu anayesema "kwasababu sio uthibitisho"

Wakwanza umeonesha kua hakuna uthibitisho juu ya madai ambayo ameambiwa athibitishe wakati huyu wapili anakanusha hoja iliyokua inadaiwa kua ni uthibitisho

Haiwezekani kuthibitisha kisicho uthibitisho kwamba si uthibitisho.sa
Sa utasemaje sio uthibitisho wakati haiwezekani kuthibitisha kwamba sio uthibitisho?

Kwanini unafika hitimisho huku ukijua hujatumia kanuni sahihi?

Sababu hujaweka huo uthibitisho.
Thibitisha hakuna uthibitisho

Hujanijibu.
Thibitisha sijajibu
 
Nikuwekee mara ngapi?
Jibu swali.
Unahakika gani kama sijajibu?
Kama ungejibu unadhani ningeuliza kwanini hujajibu?
Mara ngapi?
Kwani wewe umejibu mara ngapi?
Mungu yupo au hayupo?"
Nimeshakujibu.
Unahakika gani kama nimeshindwa kujibu na sio umejibiwa ila kutokana na kwamba upeo wako wa kuelewa majibu ni mdogo hujaelewa jibu?
Una uhakika gani upeo wangu wa kuelewa majibu ni mdogo kama hata kujibu umeshindwa kujibu?
Utasemaje uthibitishiwe hakipo, kitu ambacho umeambiwa hakipo?
Sasa umejuaje hakipo kama hakipo?
Kushindwa kwangu kuonesha hakipo pia ni moja ya uthibitisho kuonesha hakipo
Good now umekiri umeshindwa kuonesha hakipo na sio kwamba kipo au hakipo.
Hujaweka kipaumbele kujali kuyajua au kuto yajua mambo, hivyo sina sababu ya kujibu swali lako
Wapi niliandika hivyo sio unanilisha maneno.
Target ya Swali sio kuuliza kuwezekana au kuto kuwezekana.

Target ya swali inakutaka uthibitishe
Nilishajibu kwamba nimeshindwa kuthibitisha.
Thibitisha
Jibu kwanini isiwezekane?
Kuwa uthibitisho
Una uhakika gani swali langu halijatosha kuwa uthibitisho?
Ni kwasababu hakipo, ndio maana uthibitisho kuonesha kipo au hakipo ni haupo
Ulishasema umeshindwa kuonesha uthibitisho.

Now unajikataa tena.
We unahakika gani kama sijakuthibitishia hapa kua hakipo?
Hakuna sehemu umethibitisha kama hakipo kama ipo weka hiyo sehemu.
Sasa we ulitaka yawe ya nani?
Kwani nimesema hayo mawazo ni ya nani?
Umefanya research kwenye dunia ukamkosa?
Ndio.
Umenitajia jina la sayari, ila hujathibitisha uwepo wa huyo mama kwaiyo bado hujajibu swali langu
Nimeshajibu kwamba huyo mama hayupo duniani ila Inawezekana yeye kuwepo.
Kisha thibitisha
Kwenye hilo jibu nililojibu kuna linasema nimeshindwa kuthibitisha.

Kasome vizuri nilichoandika.
Nakusubiri uthibitishe huyo mama mwenye miaka mitano aliyezaa watoto sita yupo au hayupo

Halafu baada ya hapo tutajua inathibitisha vipi
Nilishajibu inawezekana akawepo na sio kwamba nimeshindwa kuthibitisha kuwa yupo au hayupo basi hayupo.
Mwalimu wako anapokupa maswali uyajibu hiyo inamaana kwamba hajui majibu ya hicho anachokuuliza?
Sasa Wewe sio mwalimu wangu.
Umejuaje kwamba sijui?
Sababu umeshindwa kujibu swali.
Sijatoa uthibitisho au hujafikia kiwango cha kujua uthibitisho endapo ukipewa?
Vitaje hivyo viwango vya kuelewa uthibitisho kama vipo.
Nakwasababu hujali kuyajua au kuto yajua hustahili kujibiwa
Now unatafuta excuses za kutokujibu sababu huwezi kujibu.
Sio kweli
Kweli.
Wapi nimeandika katika hoja yangu hapo "inawezekana"
Hapa uliandika wewe

Weka link au screenshot ya definition yako
Hilo nilikuuliza mimi wewe ndo unatakiwa kujibu.
Swali halijaishia hapo na ndio maana huelewi makinika tena ujue shabaha ya hoja yangu

Nami nimekujibu, unajuaje kwamba sikielewi na sio kwamba nakielewa katika mfumo ambao wewe haukielewi?
Mimi naelewa katika mifumo yote ya uelewa sababu hata hiyo mifumo ya uelewa unayoiongelea sidhani kama ipo.
Ikiwa ubongo wako hauna uwezo wa kuchambua mambo makubwa utawezaje kujua uhakika juu ya mambo yaliyo kuzidi?
Mambo makubwa ni yapi hayo?

Labda hayo makubwa ni makubwa in your perspective na sio kwangu.
Sa utasemaje sio uthibitisho wakati haiwezekani kuthibitisha kwamba sio uthibitisho?
Sababu nilisema haiwezekani kuthibitisha kisicho uthibitisho sio uthibitisho.

Na sijasema haiwezekani kuthibitisha uthibitisho sio uthibitisho.
Thibitisha hakuna uthibitisho
Ulichoandika sio uthibitisho.
Thibitisha sijajibu
Hakuna sehemu umejibu.
 
Jibu swali.
Nishajibu, kama nishakujibu na hujaweza kujua jibu nina hakika gani kua kurudia kwangu mara nyingi zaidi kutakupa access ya kujua jibu?

Kama ungejibu unadhani ningeuliza kwanini hujajibu?
Unaweza kuuliza kwanini sijajibu kutokana na uwezo mdogo wa kupambanua hoja zenye majibu ukahisi hujajibiwa

Kwani wewe umejibu mara ngapi?
Mara nyingi

Nimeshakujibu.
Ulisema yupo? Au hayupo?

Una uhakika gani upeo wangu wa kuelewa majibu ni mdogo kama hata kujibu umeshindwa kujibu?
Kwa kuuliza tu hili swali pia ni uthibitisho juu ya kile unachokiuliza

Sasa umejuaje hakipo kama
hakipo?
Kwasababu hakipo. We ulitaka nikupe ushahidi wa picha kuonesha hakipo?

Good now umekiri umeshindwa kuonesha hakipo na sio kwamba kipo au hakipo.
Sijaandika hivyo wala sijakusudia hivyo usipotoshe kauli yangu

Kushindwa kwangu kuonesha uthibitisho wa kisichokuwepo hakipo ni uthibitisho wa kuonesha kua hakipo

[Quote{Wapi niliandika hivyo sio unanilisha maneno.[/quote]
Humu humu

Nilishajibu kwamba nimeshindwa kuthibitisha.
Hatua gani uliyofikia hadi ukashindwa?

Jibu kwanini isiwezekane?
Yani nijibu swali ambalo we hujaliweka wazi bila kulifafanua?

We umedai kua inawezekana, umeruka step ya kuthibitisha kutilia uzito kwenye hoja yako kuonesha kivipi inawezekana now unaniuliza mimi eti "kwanini isiwezekane"

Thibitisha kauli yako kivipi inawezekana

Una uhakika gani swali langu halijatosha kuwa uthibitisho?
Kwasababu halithibitishi chochote. Swali lako nalifananisha na kivuli cha fimbo kisicho kua na msaada wowote

Ulishasema umeshindwa kuonesha uthibitisho.
Sikuishia hapo tu, vile vile nilisema kwasababu kisichopo hakipo hivyo hata uthibitisho wake haupaswi kuwepo, ukiwepo basi kitu kipo
Hakuna sehemu umethibitisha kama hakipo kama ipo weka hiyo sehemu.

Kwani nimesema hayo mawazo ni ya nani?
Kwani mpaka useme ndio ieleweke ya nani?

Weka uthibitisho mpaka ukafikia hitimisho kua hayupo

Nimeshajibu kwamba huyo mama hayupo duniani ila Inawezekana yeye kuwepo.
Ina maana huna uhakika kwamba yupo ama hayupo?

Kwenye hilo jibu nililojibu kuna linasema nimeshindwa kuthibitisha.
Pia hapo juu umedai kua umefanya research kwenye dunia ukamkosa, hapa unakanusha ulichokijibu huko juu umekua sigara kali hueleweiki kote unawaka.

Kulingana na rejea yako huko juu ebu tuambie kivipi huyo mama hayupo kwenye hii dunia baada ya kufanya research mpaka ukafikia hitimisho kua hayupo?

Nilishajibu inawezekana akawepo na sio kwamba nimeshindwa kuthibitisha kuwa yupo au hayupo basi hayupo.
Assumption sio jibu nalo taka mimi katika hoja zangu, mi nataka facts.

Usipende kuwa kijivu, kama mweusi baki mweusi na kama mweupe uwe mweupe kuliko kujificha kwenye kijivu kukwepa maswali magumu

Sasa Wewe sio mwalimu wangu.
na sijaweka madai kua we ni mwanafunzi wangu, hiyo ni kanuni tu ambayo iko applied sehemu nyingi nimekupa mfano u-relate na mfumo wa hoja nazo kupa, naweza kukupa hoja kwa mtindo wa swali na hilo halimaanishi kwamba nacho kuuliza sikijui

Sababu umeshindwa kujibu swali.
Unajuaje hujajibiwa na sio kwamba umejibiwa umeshindwa kulijua jibu?

Vitaje hivyo viwango vya kuelewa uthibitisho kama vipo.
Kama nimekupa majibu hujayaelewa na umebaki kusisitiza kwamba hujajibiwa Unanihakimishia vipi kwamba nikivitaja utaweza kuvielewa?

Now unatafuta excuses za kutokujibu sababu huwezi kujibu.

Niko makini na unacho kinandika na ndio maana natilia mkazo hoja zangu kulingana na kauli zako. Ukishaniambia kua hujali kujua au kutokujua halafu at the same time ukanuliza swali mimi sio mjinga wa kukurupuka kujibu bila kuzingatia naye mjibu ni kweli anastahili kujibiwa

Hapa uliandika wewe

Onesha

Hilo nilikuuliza mimi wewe ndo unatakiwa kujibu.
Mimi sikukuwekea tafsiri ila nilikupa chanzo chake, ila wewe umeweka maneno tata ambayo ulidai umeyatoa kwenye tafsiri ya hicho chanzo, nimekuuliza unipe link au screenshot inayoonesha tafsiri ya lile neno kwenye hiyo kamusi uliyoinukuu unakimbia

Hiyo inaonesha wazi kua hiyo tafsiri yako ni ya uwongo

Mimi naelewa katika mifumo yote ya uelewa sababu hata hiyo mifumo ya uelewa unayoiongelea sidhani kama ipo.
Sasa mbona hueleweki umesimamia wapi?

Kama huielewi mifumo hiyo kama ipo utaemaje kwamba unaelewa katika mifumo yote?

Huoni ulichokijibu tu hapa kinaipa nguvu hoja yangu kua wewe huelewi?

Mambo makubwa ni yapi hayo?
Yote yaliyo kinyume na madogi

Labda hayo makubwa ni makubwa in your perspective na sio kwangu.
Ushahidi wa hiki kwamba haya mambo ni makubwa huyawezi ebu soma ulichokiandika hapo juu

Sababu nilisema haiwezekani kuthibitisha kisicho uthibitisho sio uthibitisho
Kwanini haiwezekani?

Na sijasema haiwezekani kuthibitisha uthibitisho sio uthibitisho.
Kivipi iwezekane? Thibitisha

Ulichoandika sio uthibitisho.
We mwenyewe ulichokiandika sio uthibitisho kuonesha nilichokiandika awali sio uthibitisho. Unafikiri kuna sababu yeyote ya msingi kufikia hitimisho kwa hoja yako isiyokua na uthibitisho kwamba siko sahihi?

Hakuna sehemu umejibu.
Hakuna sehemu umethibitisha kwamba sijajibu
 
Sheria lazima ziwepo lakin just imagine wahenga wetu waliozaliwa bila kujua kanisa waliishije.?
Walikuwa na taratibu zao, ndiyo maana unaambiwa kuna dini za asili , unazani ni zipi ndiyo hizo mizimu nazo zina sheria na taratibu zake, bila kuwatolea sadaka nani atakuelewa? Ndiyo maana kabla hata ya serikali au Uhuru kulikuwa na adhabu kwenye koo na familia
 
Back
Top Bottom