Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi
Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa..
Lkn pamoja na Woga wake Huyu mgombea kwa Miaka mitano Amejenga Madaraja na flyovers nchi nzima
Amenunua Ndege, akajenga Uwanja wa hizo Ndege Chato
Anajenga Stieglers Gorge Hydroelectric Power Project
Amefanikiwa kuitoa Tanzania kwenye Jumuiya za Kikanda na UN
Amefanya Kampeni peke yake kwa Miaka mitano
Amefanikiwa kuliweka bungeni mfukoni na Spika wa Sasa ni kama Mtumishi wake wa Nyumbani
Bado yeye ni Jiwe...kwa maneno yake mwenyewe haogopi chochote
Sasa mafanikio yote haya Bwana Mkubwa bado anaogopa nini? Akutane na Lissu kwenye kampeni, aache woga...