Uchaguzi 2020 Si amejenga Madaraja nchi nzima? Vipi tena anamhofia Lissu?

Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi

Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa..

Lkn pamoja na Woga wake Huyu mgombea kwa Miaka mitano Amejenga Madaraja na flyovers nchi nzima

Amenunua Ndege, akajenga Uwanja wa hizo Ndege Chato

Anajenga Stieglers Gorge Hydroelectric Power Project

Amefanikiwa kuitoa Tanzania kwenye Jumuiya za Kikanda na UN

Amefanya Kampeni peke yake kwa Miaka mitano

Amefanikiwa kuliweka bungeni mfukoni na Spika wa Sasa ni kama Mtumishi wake wa Nyumbani

Bado yeye ni Jiwe...kwa maneno yake mwenyewe haogopi chochote

Sasa mafanikio yote haya Bwana Mkubwa bado anaogopa nini? Akutane na Lissu kwenye kampeni, aache woga...
 
si mnajua mnapendwa kwann mnachoma ofisi zenu wenyewe?
 
1599157138139.png

1599157165142.png

mjipange sana!
 
Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi

Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa..

Lkn pamoja na Woga wake Huyu mgombea kwa Miaka mitano Amejenga Madaraja na flyovers nchi nzima

Amenunua Ndege, akajenga Uwanja wa hizo Ndege Chato

Anajenga Stieglers Gorge Hydroelectric Power Project

Amefanikiwa kuitoa Tanzania kwenye Jumuiya za Kikanda na UN

Amefanya Kampeni peke yake kwa Miaka mitano

Amefanikiwa kuliweka bungeni mfukoni na Spika wa Sasa ni kama Mtumishi wake wa Nyumbani

Bado yeye ni Jiwe...kwa maneno yake mwenyewe haogopi chochote

Sasa mafanikio yote haya Bwana Mkubwa bado anaogopa nini? Akutane na Lissu kwenye kampeni, aache woga...
Unajua maana ya hofu Subirini mnyolewe.Kesho tuko Simiyu kunadi ilani ni mubashara. Kaa kwenye luninga yako
 
Back
Top Bottom