Si atakuwa ananipenda au najidanganya?


hili ni wazo lakuumizana kabisa halafu uliemtuma akila mzigo utafanya nini si ndo kuja kujaza server tu kwa malalamiko..
 
hili ni wazo lakuumizana kabisa halafu uliemtuma akila mzigo utafanya nini si ndo kuja kujaza server tu kwa malalamiko..
Michango ya saa hizi ni ya kuvuta usingizi tu ndugu yangu. Mi naongea kwa fumbo... nataka mwenyewe aone vile anatumia makamasi, sio ubongo.
 
Yaani hapo wewe ndio unajidanganya.........huyo dada anakufahamu vizuri sana.

Kweli nyoka wa maonyesho hana sumu.
 

binafsi namshangaa hata huyo dada kwa kumpa cmu,unajua huyu kaka analeta mfumo dume,we cmu yangu inakuhusu vp ukae nayo wiki kwani ni yeye 2 ninae duniani,wanawake nakubali kabisa tunawapa wanaume nafasi ya ku2kalia kichwani,mitego yote nafail na nakupenda hapo je?
 
Wala usishangae,kila mtu kakua na kapewa malezi ya aina yake! tabia yako mbaya si kama ya hao wengine wanaofanya kwa nia moja wakijua mme ni nini kwao na katika familia kwa ujumla.Usipotoshe wengine kwa tabia yako hio!
Siku zote utamjua tu mwanamke/msichana ambaye hana malez mazuri!! pole sana kaa na kiburi chako ww tu!!!
 
Sasa unataka kumpima kitu gani mtu ambae huna mahusiano nae?Kinachokunyima kumuuliza ni nini?Watu wengine bana . . . .kama domo zege mtumie hata sms.
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm. japo........
 

unataka tukupe mitego,,,!?
 

hhahahhihihiiiiihiihahahahaihihhahaahah.... dogo anatuletea zile za form II....! ngoja nifunguke nimwambie kitu....! huku kuna maproffesor ambao wamekubuhu kwenye mambo ya malavi davi bwana leta hoja zenye nguvu,,, kama wife amekufumania na unataka kumpoza na mambo kama hayo....! umenisoma dogo hahaaaa mjini sio kuzuriiiiii!!!!
 

Kweli ushauri mwingine ni kama nguvu za giza! hata huyo mgonjwa mtamuumiza! wagosi walinena hili.....
 

Nadhani hajawahi kupendwa na mwanamke katika sekta ya lavidavi..sasa kapendwa anachachawa! Anatamani hata akamfanyie operesheni ya moyo aone huko ndani kunani... Jiamini bana,otherwise utajitengenezea stress ya kufuatilia mitego halafu mara mitego haiteguki..lazima ujute!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…