ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
wewe unaumwa aisee.....
aiseee jf job true true..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unaumwa aisee.....
Jipimie kaka! tena weka mitego migumu migumu, kama ya kulala na dada yake, au kumtumia watu wamtongoze huku wewe hujibu sim zake wala sms. changa vipimo kama 3 au 4 kwa pamoja alafu kama baada ya hapo bado anakupenda ndio muendelee next level. Pia hata mkiwa ndani ya ndoa endelea kumpima pima kila wakati kuhakikisha bado anakupenda.
hahahahaha
Michango ya saa hizi ni ya kuvuta usingizi tu ndugu yangu. Mi naongea kwa fumbo... nataka mwenyewe aone vile anatumia makamasi, sio ubongo.hili ni wazo lakuumizana kabisa halafu uliemtuma akila mzigo utafanya nini si ndo kuja kujaza server tu kwa malalamiko..
Nimegundua jamaa hajiamini....ndo maana kitu kidogo anaki-judge, huyu jamaa badala ya kukaa nae chini amuulize huyo mdada nini tatizo anakuwa hatext au hapigi..tayari anatengeneza mitego..yaani huyu design wale wanaume wanaoaga wamesafiri ili arudi usiku wa manane kufumania akirudi anakuta mdada wa watu anajitazamia Tv au kalala..,..limemshuka!!
Ujana kweli ni maji ya moto.
Wala usishangae,kila mtu kakua na kapewa malezi ya aina yake! tabia yako mbaya si kama ya hao wengine wanaofanya kwa nia moja wakijua mme ni nini kwao na katika familia kwa ujumla.Usipotoshe wengine kwa tabia yako hio!binafsi namshangaa hata huyo dada kwa kumpa cmu,unajua huyu kaka analeta mfumo dume,we cmu yangu inakuhusu vp ukae nayo wiki kwani ni yeye 2 ninae duniani,wanawake nakubali kabisa tunawapa wanaume nafasi ya ku2kalia kichwani,mitego yote nafail na nakupenda hapo je?
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm. japo........Sasa unataka kumpima kitu gani mtu ambae huna mahusiano nae?Kinachokunyima kumuuliza ni nini?Watu wengine bana . . . .kama domo zege mtumie hata sms.
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm. japo........
Wana jf,i have confirmed myself that nampenda na nipo tayari kuwa naye kimaisha.Huyu msichana nashindwa kumsoma anawaza nn juu yangu,hapo mwanzo niliwahi kumu-approuch ila nilimsoma hakuwa tayari ingawaje hakunitamkia rasmin kwamba hakunikubalia,bac,nikaachana naye tukawa tu nipo karibu naye kikawaida.Sasa hivi naona amebadilika amezidi kunichangamkia,ananiambia mambo yake nahic ni ya siri,ninapomuagiza kitu hacheleweshi,ananitaka nifike kwao bila ya wacwac ukizingatia anaishi na wazee wake.kwa hali hiyo nahic atakuwa amedevelop felling,lkn nashangaa hanipigii cm mpk me nianze,hanitumii hata sms,hajanitaka msaada hata siku 1,sasa nataka nimpime ili kumjaribu ni kwa kiasi gani ananijali,tayari nilianza kwa kumuazima cm yake niitumie muda wa wiki 1 bila ya yy kuepo hewani,hili amenikubalia nisaidieni jinsi ya kumpima ksb nimepanga kumfungulia ukurasa mwengine mwishoni mwa mwezi huu,ikiwa atafauli mitego yote nitakayomuwekea.Au mnanambiaje?maana hawa wadada wanauwezo mkubwa wa kutupelekesha.
we huoni huyu ni anaumwa?
mwanamke keshakubali kufunga ndoa..sasa wewe unataka kumpima
umpime nini tena?
we muoe ukae nae ndo utamjua vizuri na yeye atakujua vizuri
feelings ndo zitakuwa strong.....sasa yeye kakazania nimpime nimpime.... si kuumwa huko?
Jipimie kaka! tena weka mitego migumu migumu, kama ya kulala na dada yake, au kumtumia watu wamtongoze huku wewe hujibu sim zake wala sms. changa vipimo kama 3 au 4 kwa pamoja alafu kama baada ya hapo bado anakupenda ndio muendelee next level. Pia hata mkiwa ndani ya ndoa endelea kumpima pima kila wakati kuhakikisha bado anakupenda.
hahahahaha
binafsi namshangaa hata huyo dada kwa kumpa cmu,unajua huyu kaka analeta mfumo dume,we cmu yangu inakuhusu vp ukae nayo wiki kwani ni yeye 2 ninae duniani,wanawake nakubali kabisa tunawapa wanaume nafasi ya ku2kalia kichwani,mitego yote nafail na nakupenda hapo je?