Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mbowe akae pembeni, twende na mwambe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyika na Selasini watakoleza zile propaganda ya chama cha kaskazini sijui cha wachaga, Heche anafaa sanaMagufuli alipelekwa chuo cha uongozii kuiongoza ccm na Nchi?, anazijua itikadi za chama chake?. John Heche anafaa Sana, chadema inahitaji Mtu jasiri atakayepambana na hujuma za ccm!!!!, Muda wa busara ulikuwa awamu zilizopita awamu tunahitaji mwenyekiti mwenye kauli thabiti na aliyemstali wa mbele. mnyika na selathin waoga sana hawafai.
Mkuu, Mnyika si mtu wa kaskazini kabisaMnyika na Selasini watakoleza zile propaganda ya chama cha kaskazini sijui cha wachaga, Heche anafaa sana
Hata kama wanaweza wakaeneza propaganda hivyo hivyo, kingine Mnyika kapoa sana siku hiziMkuu, Mnyika si mtu wa kaskazini kabisa
AhahhaaMagufuli alipelekwa chuo cha uongozii kuiongoza ccm na Nchi?, anazijua itikadi za chama chake?. John Heche anafaa Sana, chadema inahitaji Mtu jasiri atakayepambana na hujuma za ccm!!!!, Muda wa busara ulikuwa awamu zilizopita awamu tunahitaji mwenyekiti mwenye kauli thabiti na aliyemstali wa mbele. mnyika na selathin waoga sana hawafai.
Lengo lenu iendelee kuwa chama cha kaskazini tuMh.Joseph Selasini anafaaa sana.
Makamo wake John Mnyika.
Katibu Mkuu John Heche.
Sifa za niliyowataja ni hizo ambazo akina Heche hawana kwa sasa.
Ester BulayaHakuna wanawake? Wanaoweza kushika nafasi za makamo au katibu mkuu? Ccm watakisambaratisha kwa propaganda za ukanda!!!
Hii nafasi ingemfaa sana Dr Slaa....
Mbowe aedelee kwanza mpaka tutakapoitoa CCM, ikishindikana awe kama Putin alivyofanya..
Kinachotakiwa ni kiongozi Mkuu.Lengo lenu iendelee kuwa chama cha kaskazini tu
100% trueUnataka akae mtu wa "kuunga juhudi" CDM ife? Kwa mazingira ya sasa ya udikiteita wa Jiwe, MBOWE should remain! Kama kungelikuwa na hali shwali ya kisiasa, Mbowe nami nngelisema apumzike, lkn kwa mazingira ya sasa ambapo watu wanarubuniwa kwa mabilioni, nani wa kuzikataa katika safu ya CDM? Wapo lkn kwa sasa tumuache Mbowe apambane na Jiwe! Lisu anaweza kuzikataa billions za Jiwe! Lakini kwa sasa naye waache kwanza.
Kweli mkuu Membe hata Urais anatosha.Nilitegemea utatuwekea sifa za watu uliowataja, kama ni kutaja majina tu hata mimi nilishapendekeza Membe anafaa sana uenyekiti wa CCM ila sijui kwanini hawanisikii.
Mh.Joseph Selasini anafaaa sana.
Makamo wake John Mnyika.
Katibu Mkuu John Heche.
Umemaliza kazi, uumemjibu vizuri sana!Nilitegemea utatuwekea sifa za watu uliowataja, kama ni kutaja majina tu hata mimi nilishapendekeza Membe anafaa sana uenyekiti wa CCM ila sijui kwanini hawanisikii.