Si Cecil Mwambe wala John Heche wanaotosha uenyekiti CHADEMA Taifa, Uenyekiti una mambo mengi

Hakuna wanawake? Wanaoweza kushika nafasi za makamo au katibu mkuu? Ccm watakisambaratisha kwa propaganda za ukanda!!!

Hii nafasi ingemfaa sana Dr Slaa....
Kwa sababu yeye wa kanda ipi? Mbona unajichanganya sana,kama ni mahaba kwa slaa kaungane na Josephine kuwa naye alipo
 
Asee huu uzi ukiusoma halafu ukavuta picha ya Mwenyekiti wa CCM loh 😂 umempiga vilivyo..

Kwa Chadema Heche ni moja ya Mtu ninayemkubal ni Mvumilivu na anasimama katika haki wakati wote.
 
Kabisa si heche, mnyika wala Mwambe binafsi hata Selasini wanaweza kuvaa viatu vya Mbowe katika kipindi hichi kigumu kuwahi kutokea tangu upinzani umeanzishwa Tanzania 1992.
Mbowe bado anafaa kulinga na kipindi kigumu wanachopitia wapinzani wa Tanzania
 
That is my point!
 
Wazo zuri la ukomavu wa demokrasia
 
Naona unataka uturudishe kule kule! Kaskazini. Lakini ahueni umeunga mkono kamanda kukaa pembeni na kuwapisha wengine.
Wewe unataka je?
Chadema ikifa ni dhahiri upinzani wa Tanzania utakufa hata haya machache tunayoyasikia huenda itakuwa ni story na maendeleo itabakia kuwa dhana
 
Tundu Lisu haruhusiwi kugombea? Naaamn yule ana msimamo thabithi / Tuondoke Kaskasini tuwekeze na maeneo mengine
Tundu Lisu alitakiwa apumzike walau 2020 ashike kijiti cha ugombea uraisi
 
Na kipindi hiki ambacho demokrasia imesilibwa upinzani wahitaji kiongozi shupavu aina ya Mbowe la sivyo tutakuwa na upinzani wa kina mlema na cheyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…