mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Nadhani ilikuwa hiyo kabla ya Karagwe haijagawanywa wilaya mbili.Mkuu, ninatamani sana kufika Wilaya moja inaitwa Kyerwa. Ninasikia katika Wilaya hiyo moja kuna mipaka ya nchi mbili za Uganda na Rwanda?
Kwa upande wa Uganda ni Wilaya ya Kyerwa kata ya Murongo. Huko kuna pombe inaitwa Uganda walaji hiyo usipime.
Kwa upande wa Rwanda sina kumbukumbu nzuri lakini ni wilaya ya Karagwe kata za Bweranyange, Nyaishozi etc. Nakumbuka miaka ya 2004-2006 walienda kijiji kimoja mpakani wakakuta 90% ya wakazi ni Wanyarwanda. Tatizo wanahamia na mifugo yao yaani ni shida kabisa.