Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka

Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
543
Reaction score
652
Si kila gari linapopata pancha linapaswa kurudi lilipotoka. Wakati mwingine kinachohitajika ni kusimama kidogo, kubadilisha tairi na kuendelea na safari.

Maishani, kuna nyakati watu hubadilika, nafasi hubadilika na majukumu hubadilika. Mwenye hekima haangalii kilichobadilika pekee, bali huangalia mbele kuna nini na safari inapaswa kufikaje.

Kwa sababu mwisho wa safari hauamuliwi na tairi lililopasuka, bali na uamuzi wa dereva kuendelea kuliongoza gari.

Augustino Chiwinga
LINDI
 
Back
Top Bottom