Si kila mtu ni wa kumueleza shida zako, wengine hufurahia moyoni

Si kila mtu ni wa kumueleza shida zako, wengine hufurahia moyoni

Swadakta. Nikweli usiopingika. Urafiki wa leo umejawa ukwejeli na masimango...
 
Ni vizuri ukatambua uhalisia wa dunia ya leo.
Ni baba yako na mama yako tu kama bado wako hai ndio watakaokuwa na masikitiko ya kweli kukuhusu.
Ondoa hata ndugu zako wa damu, baba mmoja mama mmoja!
 
Back
Top Bottom