Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Inaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa
Si kila aombaye msaada ni mhitaji kweli na si kila mtu wako wa karibu hasa baadhi ya ndugu na marafiki waombao misaada ya kifedha ama mikopo wanamaanisha
Kuna mambo ya kijinga yanaendelea kwenye hizi jamii zetu hasa zile ambazo hazijaelimika ama walioelimika ni wachache
Wivu.. Kwa kuwazidi tu vitu fulani basi umekwisha.. Badala wapambane wapate vya kwao , wao wanapambana wakumalize
Kiroho safi kabisa na kwa upendo mkuu mshkaji anakuomba buku ama zaidi unampa.. Kumbe tayari anaenda kukamilisha malighafi za kukufunga
Na ili ufunguliwe utahitaji kupata malighafi zote alizotumia ama la mpaka pale zitakapo expire! Je utajua zina expire lini?