Hilo kufuli hilo.Inaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa
Si kila aombaye msaada ni mhitaji kweli na si kila mtu wako wa karibu hasa baadhi ya ndugu na marafiki waombao misaada ya kifedha ama mikopo wanamaanisha
Kuna mambo ya kijinga yanaendelea kwenye hizi jamii zetu hasa zile ambazo hazijaelimika ama walioelimika ni wachache
Wivu.. Kwa kuwazidi tu vitu fulani basi umekwisha.. Badala wapambane wapate vya kwao , wao wanapambana wakumalize
Kiroho safi kabisa na kwa upendo mkuu mshkaji anakuomba buku ama zaidi unampa.. Kumbe tayari anaenda kukamilisha malighafi za kukufunga
Na ili ufunguliwe utahitaji kupata malighafi zote alizotumia ama la mpaka pale zitakapo expire! Je utajua zina expire lini? View attachment 3290772
Mmhπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊMfano hili lidada linaitwa financial services sio la kukopesha kabisa,natoa tahadhari humu.nalijua tangu tuko jkt.
Kwanini unakuwa negative tu? Pia, kuna mambo ya kisom na ya maana pia yanafanyika. Kwanza, kwanini wewe ndiyo usaidiwe? Kwanini wewe usisaidie kama hao unaotaka wakusaidie? Kwani, umesoma kiasi gani hadi usomi uwe ndiyo fimbo yako mwanangu? Kusaidi na kutoa ni moyo. Sijui kama unalazimishwa hadi unalalamika. Ukisaidi wala usitegemee kurejeshewa.Inaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa
Si kila aombaye msaada ni mhitaji kweli na si kila mtu wako wa karibu hasa baadhi ya ndugu na marafiki waombao misaada ya kifedha ama mikopo wanamaanisha
Kuna mambo ya kijinga yanaendelea kwenye hizi jamii zetu hasa zile ambazo hazijaelimika ama walioelimika ni wachache
Wivu.. Kwa kuwazidi tu vitu fulani basi umekwisha.. Badala wapambane wapate vya kwao , wao wanapambana wakumalize
Kiroho safi kabisa na kwa upendo mkuu mshkaji anakuomba buku ama zaidi unampa.. Kumbe tayari anaenda kukamilisha malighafi za kukufunga
Na ili ufunguliwe utahitaji kupata malighafi zote alizotumia ama la mpaka pale zitakapo expire! Je utajua zina expire lini? View attachment 3290772
Kwanza Hebu nirushie buku hapo π€£π€£π€£π€£π€£π₯Ίπ₯ΊππππΏππΏππΏππΏππΏ
Ndiyo nikikwambia unikopeshe uwe unafanya miamala fastaNimesoma nimetishika aisee binadamu sio kabisa
Mshana Jr umerudi kwenye ubora wakoInaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa