Si kila mtu wa kusaidia, si kila mtu wa kukopesha

Asante Mkuu. Unafanyaje kujitoa kwenye kifungo / màapizo ya aina hii??
Moja kusubiri mpaka dawa ziishiwe nguvu zenyewe
Mbili kujua dawa za vifungo zilipotupwa, kufichwa ama kufukiwa
 
Linanenewa likiwq limefungamanishwa na vitu vinavyokuhusu
Jina
Picha
Nguo
Pesa
Nywele
Kucha
Udongo wa nyayo nk
Hata kama ukatuma soft mfano halopesa ,tigopesa

Kibinafsi huwa sitoi misaada ya pesa direct huwa natoa msaa wa vitu muhimu kama chakula na mavazi

Ova
 
Hiyo ndio nzuri ya kukomesha hayo maujinga.. Maana hapokei kwako directly
 
Hata kama ukatuma soft mfano halopesa ,tigopesa

Kibinafsi huwa sitoi misaada ya pesa direct huwa natoa msaa wa vitu muhimu kama chakula na mavazi

Ova
Hivi kumbe hata kwa kutuma soft money ni shida.... Doohhhh... Ni changamoto kubwa sana hii.
 
Dah! Unamkopesha rafiki yako pesa Kwa wivu wake wa kijinga anaenda kufunga kabisa Uchumi wako, alafu hii kumpa pesa mtu mkononi ni risk sana Bora umtumie hata Kwa mitandao ya simu angalau
 
Hata kama ukatuma soft mfano halopesa ,tigopesa

Kibinafsi huwa sitoi misaada ya pesa direct huwa natoa msaa wa vitu muhimu kama chakula na mavazi

Ova
Dah! Unamkopesha rafiki yako pesa Kwa wivu wake wa kijinga anaenda kufunga kabisa Uchumi wako, alafu hii kumpa pesa mtu mkononi ni risk sana Bora umtumie hata Kwa mitandao ya simu angalau
Haya mambo yasikie tuu binaadam wabaya sana aisee ukiwakuta kwenye anga zao.
 
Inauma sana aisee. Ni neema ya Mungu tu ikulinde, otherwise hutoboi.

Sasahv nitakuwa makini mtu akiniomba hata buku namwambia anipe namba ya muamala
 
Vipiukimpa kwa M-Mpesa bado anakufunga? Wachawi ni Allien/UFO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…