Eti shemeji yake anamtaka. Kweli!Umbea umeanza lini ?
Na yeye amtake watakaneEti shemeji yake anamtaka. Kweli!
Sijakuomba unikumbusheJiheshimu
Mashemeji wanapendaga wanaoshinda nao nyumbani na kugombania remote.Inaonekana mashemeji zenu wanataka Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Mashemeji wanapendaga wanaoshinda nao nyumbani na kugombania remote.