Si kila mwanamke anafaa kuwa mke wako

Si kila mwanamke anafaa kuwa mke wako

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,454
Japo kuna wasichana wanavutiwa sana na mimi lakini hakuna namna ya mimi kuwa na wao kwa sababu mini kwanza ni maskini sina uwezo wa kuwahudumia, japo wakiniangalia wanadhani mimi maisha bora.

Lakini pia nazingatia na kuheshimu urafiki, huwezi ukawa shemeji yangu halafu nikalala na wewe.
 
Inaonekana mashemeji zenu wanataka Sana😂😂😂
 
Sasa ndugu, wewe haujui kwamba tuko busy kwenye kampeni? Tunasababisha raia wale ubwabwa nchi nzima.
 
Back
Top Bottom