Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,454
Japo kuna wasichana wanavutiwa sana na mimi lakini hakuna namna ya mimi kuwa na wao kwa sababu mini kwanza ni maskini sina uwezo wa kuwahudumia, japo wakiniangalia wanadhani mimi maisha bora.
Lakini pia nazingatia na kuheshimu urafiki, huwezi ukawa shemeji yangu halafu nikalala na wewe.
Lakini pia nazingatia na kuheshimu urafiki, huwezi ukawa shemeji yangu halafu nikalala na wewe.