Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
We jamaa hii ni machine ya kusaga nini πΈπ!View attachment 3623903Bado bei ipo poa 2500 kidumu cha tomato...
Na mashine ya kusaga nyanya hiyo hapo kila kitu kinafanyika katika uboro wa hali ya juu
View attachment 3623905
Bwashe pombe ni min me na min me ni pombe π π πNatatizo la kula pombe za milioni na wana kwa siku π
Bibi unazeeka vibaya π πHatutaki.
Amesema πWe jamaa hii ni machine ya kusaga nini πΈπ!
Ooh kumbe hii inaweza kufanya kazi eehShida inakuja ni kujieleza kwamba ni Wewe!Jaribu kuelezea kama vile umeomba ushauri na Mtu aliyoko sehemu nyingine.Ili uweze kupima ushauri wake kwamba utamweleza au kumpigia simu ushauri huo, Kumbe ni Wewe Mwenyewe!
Acha tu nikubaliane na ninyi hakuna namna πAmesema π
Kwani we unaona ni machine ya nini π πAcha tu nikubaliane na ninyi hakuna namna π
Unasaidia Sana!Ooh kumbe hii inaweza kufanya kazi eeh
Nyanya mkuu.. yaan inatumika kutengenezea tomato source.We jamaa hii ni machine ya kusaga nini πΈπ!
Una uhakika kwamba unataka kuskia hilo jibu!πKwani we unaona ni machine ya nini π π
Shukran karibu tenaUnasaidia Sana!
Ooh kwakweli sina uhakika sana πUna uhakika kwamba unataka kuskia hilo jibu!π
Nitakwambia hivyo hivyo hata kama huna uhakika aibu utaona wewe ππOoh kwakweli sina uhakika sana π
Baasii GudubaiiiiNikakwambia hivyo hivyo hata kama huna uhakika aibu utaona wewe ππ
Ndo hatutaki sasaπ€£π€£Bibi unazeeka vibaya π π
Wewe na nani sasa π«’Ndo hatutaki sasaπ€£π€£
Na babu yako.Wewe na nani sasa π«’