Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Okay, you have a point there, I will grant you that. Ila pia ni kwa sababu serikali ya sasa kule haiitwi serikali ya Tanzania Visiwani, hatusikii raisi wa Tanzania Visiwani.Kwa nini mnapenda kuiita TANGANYIKA , Tanzania Bara? Mbona Zanzibar hamuiiti Tanzania Visiwani?
Ukiamua kutumia Tanzania Bara ku adress inshu za Tanganyika, basi na Upande wa Pili tumia jina Tanzania Visiwani badala ya Zanzibar.
Asante
Na madai yote hayo yatamzuia raisi Samia, leo hi, kusema chimbeni madini ndani ya Serengeti, uamuzi ambao utakaa nasi huku Tanzania bara, kwa kipindi cha miaka 20-30 ijayo?
Okay, you have a point there, I will grant you that. Ila pia ni kwa sababu serikali ya sasa kule haiitwi serikali ya Tanzania Visiwani, hatusikii raisi wa Tanzania Visiwani.
Uko sahihi kaka. Nimerejea kwenye Katiba ya JMT sura ya kwanza, imeeleza kuwa, "Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo"Okay, you have a point there, I will grant you that. Ila pia ni kwa sababu serikali ya sasa kule haiitwi serikali ya Tanzania Visiwani, hatusikii raisi wa Tanzania Visiwani.
Mkuu ile ni Nchi na inaotw Zanzibar na wala zio Tanzania Visiwani! Tanzania Visiwani ni kama Mafia n.k. na utaiita jina gani: "Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ama Jamhuri ya Watu wa Tanganyika"Kwa nini mnapenda kuiita TANGANYIKA , Tanzania Bara? Mbona Zanzibar hamuiiti Tanzania Visiwani?
Ukiamua kutumia Tanzania Bara ku adress inshu za Tanganyika, basi na Upande wa Pili tumia jina Tanzania Visiwani badala ya Zanzibar.
Asante
Anakasirika kusikia tu tunasema maamuzi kama ya bandari kwa DP World, kuchimba madini ndani ya Serengeti, Samia asiyafanye kwa sasa, bali yaje yafanywe na raisi kutoka bara kwa sababu impact yake iko zaidi upande wa bara, na kama ni makosa isije ikasemwa mtu wa Zanzibar alituponza. Huyo lazima ana wajomba kule uarabuni.Mbona umekasirika hivyo?Twende polepole kwa lugha za kiungwana.
Hoja za kibaguzi huwa hazitusaidii tukiwa taifa moja la Tanzania. Samia anaweza kuja kuwa rais bora kuliko wote watano waliomtangulia.Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara peke yake, kwa sababu upande wa Zanzibar wana raisi wao na serikali yao.
Katika hali kama hii, na ukizingatia kwamba Rais Samia anatokea upande wa Zanzibar, ningeshauri sana kwamba Rais Samia ajiepushe kufanya maamuzi makubwa ambayo ni ya muda mrefu (yana lock-in effect ya muda mrefu) upande wa bara peke yake. Kumekuwa na hisia zinazozidi kukua kwamba Rais Samia anafanya maamuzi ambayo baadaye yatakuwa na athari mbaya upande wa Tanzania bara, wakati yeye amemaliza muda wake na kurudi Zanzibar, na kuwaacha Watanzania bara wakisumbuliwa na matokeo ya maamuzi yake.
Mifano ya maamuzi ambayo Rais Samia anachukua juu ya mambo yanayohusu bara peke yake ni kama suala la mkataba wa bandari kwa DP Word ya Dubai, na hili la kuchimba madini ndani ya mbuga ya Serengeti na nyinginezo, ambapo, TANAPA, chombo cha utalii Tanzania bara, kilishalikataza sana.
Ingekuwa busara sana kama Rais Samia angeonyesha subira na kuacha maamuzi juu ya mambo makubwa kama hayo, yenye long term lock-in effect, yafanywe wakati Rais wa Tanzania ni mtu kutoka upande wa bara. Hii itasaidia kutokuza chuki na kutoa hofu upande wa bara kwamba Raisi Samia hafanyi mambo kwa manufaa ya watu wa bara, na labda ana ajenda ya siri.
Hatuongelei uraisi wa Samia ukilinganisha na maraisi wengine, tunaongelea specifically issues kama uamuzi wa kuchimba madini Serengeti. Unawahusu nini Zanzibar? Kwani Samia ni raisi wa Tanzania bara? Basi angalau awe anatafuta maoni ya wadau wa bara juu ya mambo makubwa kama haya. Sema ukweli, leo tukifanya referandum huku bara kama tuchimbe au tusichimbe madini Serengeti, unafikiri itapita?Hoja za kibaguzi huwa hazitusaidii tukiwa taifa moja la Tanzania. Samia anaweza kuja kuwa rais bora kuliko wote watano waliomtangulia.
Watangulizi wake wameweka mazingira mazuri yenye kumuwezesha kufikiria kwenye ukuzaji wa uchumi peke yake.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, elewa maana ya maneno 'Jamhuri ya Muungano'.Hatuongelei uraisi wa Samia ukilinganisha na maraisi wengine, tunaongelea specifically issues kama uamuzi wa kuchimba madini Serengeti. Unawahusu nini Zanzibar? Kwani Samia ni raisi wa Tanzania bara? Basi angalau awe anatafuta maoni ya wadau wa bara juu ya mambo makubwa kama haya. Sema ukweli, leo tukifanya referandum huku bara kama tuchimbe au tusichimbe madini Serengeti, unafikiri itapita?
Uko sahihi kiongozi wanguSasa kama watanganyika wamelala unategemea afanye nini zaidi ya kuuza kila kitu.
Hakuna Tume au Kamati iliyoundwa kuhusu muungano iliyokuja na pendekezo jingine zaidi ya serikali 3. Hakuna!..Tume ya Warioba ilifanyia kazi mapendekezo ya aina mbalimbali za muungano, na ikaja na pendekezo la serikali 3.
Tume ya Mkandara iliyoundwa na SSH iilikatazwa isiangalie suala la Muungano kwasababu hata mwendawazimu hawezi kukwepa hoja ya S3. Hakuna utafiti unaoonyesha suluhu ni S2 AU S1. hakuna!..sasa kama unapinga findings za Tume ya Warioba inabidi utueleze chanzo cha mapendekezo ya serikali moja ni nani, na utafiti ulifanyika lini, na waliwasilisha wapi mapendekezo yao.
Ni kweli wamelala sana. Kitendo cha Watanganyika kudai serikali 3 ni sehemu ya usingizi pia.Sasa kama watanganyika wamelala unategemea afanye nini zaidi ya kuuza kila kitu.
Hivi leo hii kati ya Tanzania bara na visiwani, nani ana mhitaji nani? Labda tuanzie hapoNi kweli wamelala sana. Kitendo cha Watanganyika kudai serikali 3 ni sehemu ya usingizi pia.
Wanaotakiwa kudai serikali 3 ni Wazanzibar! Tanganyika haihitaji Zanzibar
Watanganyika kudai serikali 3 ni 'favor' kwa Wazanzibar! Tanganyika haihitaji Zanzibar
Na ndio maana Wazanzibar wale wale waliokataa jina Tanzania na hivi karibuni kukana Bungeni wanashinikiza sana iweke formula ya kugawana rasilimali za Tanzania kwa jina la JMT ambazo ni za Tanganyika...Ni kwasababu wananchi wa Zanzibar walikataa nchi yao kuitwa Tanzania Visiwani.
..Kilifanyika majaribio na jitihada za kufuta jina Zanzibar, na kuita Tanzania Visiwani, lakini zilikutana na upinzani.
..Kwa upande wa Tanganyika hatukusimama kidete kutetea utambulisho wetu, na ndio maana leo hii rasilimali za Tanganyika zimekuwa kama hazina wenyewe.