SI KWA UBAYA : Ila Rais wetu umetukosea sana watanzania tunajua na tunayaona

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Kwako madam president

Hizi teuzi unazofanya wakati mwingine huwa unatukosea sana sisi watanzania leo hii ripoti ya CAG imeonesha madhaifu na ufisad mwingi serikalini maana yake unahitaji kuutoa huu ufisadi kwa nguvu zote

Bahat mbaya badala ya kupambana na ufisadi wewe unateua fisadi ndani ya serikali tena bungeni

Hapa namzungumzia BI ANGELA KIZIGHA, kila mtu anamsema huyu shangazi juu ya utajiri wake usiokuwa na vielelezo kamili lakn mwenzetu umeweka pamba masikion husikii kabisa

Inafika wakat sasa naamin s kwamba hujui bali umeamua na hakuna mtu wa kukufanya kitu chochote nakwambia sio vizur unachofanya hii nchi yetu siyo mali yako binafsi

Mambo mengi yametokea had sasa aman iliyopo imekaa kimtego sana mda wowote inaweza.vyatuka kwa mambo yako unayofanya

SISI WANANCHI TUNA UVUMILIVU WETU UNAVUKA MSTARI MWEKUNDU TUKICHOKA USITULAUMU TUTAKUWA TUNAIPIGANIA NCHI YETU NA SI MASLAHI BINAFSI KAMA UFANYAVYO WEWE
 
Na nyie nao kwa kufagilia, eti sio kwa ubaya, acha iwe kwa ubaya tu, unadhani raisi anachokifqnyq hakijui, hamjui huyo shoga yake kiziga, kwani raia wqmeanza kumsema leo, si kabla hata ya uchaguzi, raisi ni wale wale.. ndege hufana nao huruka pamoja.
Ubaya ubwela.
Nyeusi iwe nyeusi na nyeupe isemwe nyeupe
 
Kwako madam president

Hizi teuzi unazofanya wakati mwingine huwa unatukosea sana sisi watanzania leo hii ripoti ya CAG imeonesha madhaifu na ufisad mwingi serikalini maana yake unahitaji kuutoa huu ufisadi kwa nguvu zote

Bahat mbaya badala ya kupambana na ufisadi wewe unateua fisadi ndani ya serikali tena bungeni

Hapa namzungumzia BI ANGELA KIZIGHA, kila mtu anamsema huyu shangazi juu ya utajiri wake usiokuwa na vielelezo kamili lakn mwenzetu umeweka pamba masikion husikii kabisa

Inafika wakat sasa naamin s kwamba hujui bali umeamua na hakuna mtu wa kukufanya kitu chochote nakwambia sio vizur unachofanya hii nchi yetu siyo mali yako binafsi

Mambo mengi yametokea had sasa aman iliyopo imekaa kimtego sana mda wowote inaweza.vyatuka kwa mambo yako unayofanya

SISI WANANCHI TUNA UVUMILIVU WETU UNAVUKA MSTARI MWEKUNDU TUKICHOKA USITULAUMU TUTAKUWA TUNAIPIGANIA NCHI YETU NA SI MASLAHI BINAFSI KAMA UFANYAVYO WEWE
Hivi bado una matarajio yoyote hii Gavaa? Pole sana
 
Back
Top Bottom