Si kwa ubaya lakini naona anguko la Harmonize

Sema lyrics zake kama ni zile zile, angemuajiri mtu wa kumuandikia kimalkia zaidi

A go love ma bebe, yo go love my banana "Some day i used to call my mama" 😁😁
Hamna ile ya die, ambayo Yuko peke ake ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Aache kuvuta Bangi afokasi zaidi kwenye kufanya kazi vinginevyo atapotea. Anatafuta kiki kupitia kwa aliyewahi kuwa demu wa Diamond (Hamisa) sidhani kama itampeleka mbali
 
Tatizo alilonalo kondeboy ni elimu ndogo na management mbovu ,kama alivyosema kila dereva bajaji akimkuta amebandika picha yake yeye na bff wake mobeto anampa laki 5 so masuala ya kuwafanya watu watoto πŸ˜€πŸ˜€laki 5 anazipata wapi wakati ata pesa ya kuwaboost wakina Ibrah Hana,yeye alionao iyo ndo strategy ya kuwadanganya watu WA promote BURE si akili ndogo iyo
 
N
Harmonize angetumia muda huu kukusanya mtaji afanye miradi mingine mikubwa nje ya Sanaa mana hakuna atakayemvumilia zaidi ya miaka 7 ajayo na ujinga wake. Mziki unabdilika sana asee
Na anapoelekea ataanza kula cocaine maana akilewa tu anaanza kusumbua insta na kuandika vitu visivyo eleweka,all in all anapitia nyakati ngumu sana za kuforce watu wamzungumzie kila wakati na kuforce watu wamshabikie pasipo kitu cha maana,mara atafute kick Kwa mobeto ,mobeto mwenyewe kastukia anamkwepa ,mjinga amegundua kick za mahusiano ndo uwa zinambeba sa hivi mtashangaa kadaka demu WA bongo tena
 
Si
Sema lyrics zake kama ni zile zile, angemuajiri mtu wa kumuandikia kimalkia zaidi

A go love ma bebe, yo go love my banana "Some day i used to call my mama" 😁😁
Single Again ni ngoma ya teenage πŸ˜€πŸ˜€
 
Watu wanamkimbia kwenye show. Kondegang ndo hivyo imekufa plus kiki zake ndo hivyo hazihit. Hali ikiendelea hivi basi hatutomsikia tena Harmonize.[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viewers wengi maana yake wimbo umependwa na wengi pia youtube wanawalipa kwa idadi ya viewers. Ni mafanikio kwao.
 
Viewers wengi maana yake wimbo umependwa na wengi pia youtube wanawalipa kwa idadi ya viewers. Ni mafanikio kwao.
Ila harmo ana boost sana views, miaka ya karibuni Zuchu anapiga sana pesa kwenye digital platforms kuliko harmonize. Single again imembeba sana juzi pasipo hiyo hali ingekuwa ngumu.

Ka boost views kwa kina killy na angellah hadi akawafukuza maana pesa hakuna na pia kwa ku boost views amemdumaza hadi ibraah
 
"Bila Dai yule dogo nina uhakika asingejulikana kokote. Bila Dai asingekuwa na maisha aliyonayo sasa"

Naona hapo juu unajipa nafasi ya Uungu sasa, Kwa kusema bila Dai una UHAKIKA asingejulikana popote

Vipi kuhusu Marioo bila nani asingefika hapo alipo, je vipi Jay melody? Kwahiyo sidhani kama uko sahihi kusema hivo, kwa sababu ana kipaji angefika tu japo kwa njia ingine kama wasanii wengine

Cha Kwanza ni kipaji tu, ata Diamond aliwekeza kwa sababu anaamini katika kipaji cha Harmonize na akaona hii ni hela hapo mbeleni ndomana akawekeza hela zake

Ukiwa na kipaji,nidhamu na kujituma mafanikio ni swala la muda Tu, ila utapitia njia gani kufikia mafaniko yako ndio huwezi kujua, kwahiyo Diamond ametumika kama Daraja Tu Ku unlock kipaji cha Harmonize

Ndomana huyo huyo Diamond kashindwa kumsaidia dada yake queen Dareen ili nayeye awe msanii mkubwa kama zuchu, jibu ni simple tu kwa sababu Hana kipaji ambacho kina Harmonize,Rayvany,Mboso,zuchu,D-voice wanavyo
 
Hoja zako nyepesi sana. Hivi unajua maana ya Uungu wewe au umeriri tu hiyo semi...!. Umebwabwaja mengi,lakini hata nikikufafanulia kwa kirefu na mfano sidhani kama utaelewa kwa uelewa huo. Acha tuishia hapa. Ni sawa ukishika yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…