Si kwamba napinga ila Nisaidieni kwa kina, Ni ipi sababu ya msingi ya mshahara wa mbunge kuwa mil 18?

Jitahidi kuwa serious/makini.Mbunge mmoja alipwe hayo marundo ya mahela kwa ajili ya kukaa tu na kuzikomesha meza kwa vibao?
acha vichekesho basi,

yaan mbunge anazikomesha meza kwa vibao 🀣
hiyo ni dharau, zingatia kanuni za bunge zinasemaje..

halafu ati mbunge anakaa tu?
mbunge ni mtumishi wa tofauti sana..
anatoka kazini mjengoni, anakwenda kazini jimboni kwa wanainchi, tena kwenye kata zaidi ya 20, hana likizo, hana mapumziko mshahara na posho havitoshi πŸ’

mapendekezo yangu yanabaki palepale walau 30 -40m, ni walau si kwamba ati zinatosha..
Kazi ile ni ngumu na ni nzito sana aise lakini inafanyika na inawezekana πŸ’
 

AiseeπŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Aiseeeeeeee[emoji2960][emoji2960]
 
Wewe unapaswa uchabangwe makofi mengi na bakora nyingi za shingoni na kuhamishiwa Burundi.😎
 
Bunge la uingereza ambayo ni donar country na mlezi wa nchi yetu haliko Kama letu,wabunge wa kule hawana anasa kama kwetu,Wala hawalipwi pesa za anasa kama kwetu sasa kwanini mpaka Leo tuko maskini wakati wabunge hao wanaotegemezwa vizuri wanawaza sahihi? Kwanini wameshindwa hata kutunga sera nzuri ya kuwajengea makazi Bora wananchi waindokane na stress za kujenga na migogoro ya aridhi ili kwamba hizo pesa wanazopata kwenye mihangaiko yao zifanye mambo mengine ikiwa ni pamoja na kulipa kodi,kwenda kutalii Kama ambavyo wenzetu wanafanya,wanunue magari mazuri,wasomeshe watoto wao kwenye shule nzuri n.k
 
ingawa tena unaleta hoja ya uingereza mie sintaenda huko sana πŸ’
kuna hoja hapo muhimu sana ya kimantiki umeibua, na hiyo inaweza kabisa kua ndiyo sababu ya msingi sana ikifanyiwa utafiti yakinifu, kwa wawakilishi kutokukonga nyoyo zako na kutokukidhi matarajio yako, mathalani kwenye hivyo vitu vichache ulivyovitaja kwa mfano kuondoa umaskini, kutunga sera nzuri za makazi bora na kusaidia wanainchi kuondokana na stress za migogoro ya ardhi na mambo mengine yanayofanana na hayo πŸ’

ni vizuri kuzingatia maslahi ya hawa watunga sheria kwa umuhimu na umakini mkubwa sana na hasa ukizingatia uzito, umuhimu na ukubwa wa kazi na majukumu yao kwa wanainchi na Taifa kwa ujumla πŸ’

ukitaka kitu kizuri usilalamikie gharama, 35-40m is reasonable and affordable kwa maoni yangu πŸ’
 
Kwa aina ya uchumi wetu huoni kulipana hivyo kunaweza kukausha hazina na kupelekea mahitaji mengine kukwama?
 
Kwa aina ya uchumi wetu huoni kulipana hivyo kunaweza kukausha hazina na kupelekea mahitaji mengine kukwama?
hapana, hiyo nakataa kabisa sikubaliani na wewe πŸ’

Tanzania hatuwezi kukaukiwa na chochote, na wala hatuwezi kukaribia huko sembuse kufika πŸ’

we have everything in hand,
let's invest enough and heavily kwa hizi brain hapa mjengoni ili hatimae comfortably watusaidie kutafakari kwa makini, wafikiri vizur, wajadiliane kwa umahiri zaidi na hatimae waje na mipango, sera, Sheria na hitimisho la kuwakomboa waTz, kiuchumi, kisiasa na kijamii πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…