Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha vichekesho basi,Jitahidi kuwa serious/makini.Mbunge mmoja alipwe hayo marundo ya mahela kwa ajili ya kukaa tu na kuzikomesha meza kwa vibao?
kazi ya uwakilishi mjengoni huwezi linganisha na kazi nyingine yoyote hata kidogo 🐒
mustakabali mwema wa Taifa unaanzia pale mjengoni 🐒
si hivyo tu,
ni kazi ambayo ukitoka kazini mjengoni unaenda kazini jimboni kwa wananchi na huna namna ya kutegea wala kukwepa, huna likizo wala mapumziko. ni kazi kazi tu 🐒
nadhani kuna haja maslahi kwa wawakilishi yakatazamwa vizuri walau kufikia hapo kwenye 35 au 40m kama ambavyo nimependekeza kwenye hoja yangu ya awaliA
Aisee🤣🙌🙌kazi ya uwakilishi mjengoni huwezi linganisha na kazi nyingine yoyote hata kidogo 🐒
mustakabali mwema wa Taifa unaanzia pale mjengoni 🐒
si hivyo tu,
ni kazi ambayo ukitoka kazini mjengoni unaenda kazini jimboni kwa wananchi na huna namna ya kutegea wala kukwepa, huna likizo wala mapumziko. ni kazi kazi tu 🐒
nadhani kuna haja maslahi kwa wawakilishi yakatazamwa vizuri walau kufikia hapo kwenye 35 au 40m kama ambavyo nimependekeza kwenye hoja yangu ya awali 🐒
Aiseeeeeeee[emoji2960][emoji2960]ndrugu zango kazi ya uwakilishi wa wananchi ni ngumu sana ila inawezekana kufanyika [emoji205]
kujadili mambo makubwa, muhimu na mazito sana ya mustakabali mpana wa Mama Tanzania na waTanzania wote sio lele mama.
Inahitaji kuwezeshwa vema, kutulizwa vizuri kifikra na kiakili, kwa hali na mali ili kupata nguvu zaidi na uwezo wa kufikiri viwe imara zaidi na bila kuchoka haraka [emoji205]
kuwafikia wanainchi zaid ya kata pungufu kidogo ya 30 sio kazi ndogo ndugu zangu. wananchi binafsi wana matatizo makubwa Lazima wasaidiwe kibinafsi, achila mbali yale ya jumla ambayo hutoi pesa moja kwa moja mfukoni [emoji205]
kuhudhuria vikao vya kamati, kuhudhuria semina, warsha, makongamano mbalimbali, mikutano ya hadhara, kukagua miradi ya maendeleo, kuhudhuria na kuchangia Harambe, mambo ya Furaha na huzuni, kuitegemeza familia, kusomesha watoto na wanainchi n.k[emoji205]
walau kikifika m35 au 40 ndipo angalau kinaweza kutosheleza mahitaji,sio yote, kwa kiasi fulani tu. Bado tupo chini sana [emoji205]
Wewe unapaswa uchabangwe makofi mengi na bakora nyingi za shingoni na kuhamishiwa Burundi.😎acha vichekesho basi,
yaan mbunge anazikomesha meza kwa vibao 🤣
hiyo ni dharau, zingatia kanuni za bunge zinasemaje..
halafu ati mbunge anakaa tu?
mbunge ni mtumishi wa tofauti sana..
anatoka kazini mjengoni, anakwenda kazini jimboni kwa wanainchi, tena kwenye kata zaidi ya 20, hana likizo, hana mapumziko mshahara na posho havitoshi 🐒
mapendekezo yangu yanabaki palepale walau 30 -40m, ni walau si kwamba ati zinatosha..
Kazi ile ni ngumu na ni nzito sana aise lakini inafanyika na inawezekana 🐒
Tuendelee hivihivi kuchokozana hisia ndiyo tutaamka kutoka kwenye uzuzu uliojaa vichwani.[emoji28][emoji28][emoji28]
Swali hili likikolea vichwani mwa wengi nchi itakuwa ngumu kuiishi hii!!
uliza maswali ya kawaida haya fikirishi yanaamsha hisia
makofi na bakora za shingo tena🤣 🤣Wewe unapaswa uchabangwe makofi mengi na bakora nyingi za shingoni na kuhamishiwa Burundi.😎
Hukohuko ulipo utarudishwa kwa nguvu ukiwa umefungwa kamba ya katani na kuwekwa juu ya keria za basi la kijijini.makofi na bakora za shingo tena🤣 🤣
Burundi kufanya nini tena na mimi sipo bongo kwa bahati mbaya aise 🐒
🤣🤣🤣🤣🤣Hukohuko ulipo utarudishwa kwa nguvu ukiwa umefungwa kamba ya katani na kuwekwa juu ya keria za basi la kijijini.
aiseee we jamaa ni hatari 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Hukohuko ulipo utarudishwa kwa nguvu ukiwa umefungwa kamba ya katani na kuwekwa juu ya keria za basi la kijijini.
Bunge la uingereza ambayo ni donar country na mlezi wa nchi yetu haliko Kama letu,wabunge wa kule hawana anasa kama kwetu,Wala hawalipwi pesa za anasa kama kwetu sasa kwanini mpaka Leo tuko maskini wakati wabunge hao wanaotegemezwa vizuri wanawaza sahihi? Kwanini wameshindwa hata kutunga sera nzuri ya kuwajengea makazi Bora wananchi waindokane na stress za kujenga na migogoro ya aridhi ili kwamba hizo pesa wanazopata kwenye mihangaiko yao zifanye mambo mengine ikiwa ni pamoja na kulipa kodi,kwenda kutalii Kama ambavyo wenzetu wanafanya,wanunue magari mazuri,wasomeshe watoto wao kwenye shule nzuri n.ksasa wewe unahitaji darasa na shule pana, juu ya majukumu na kazi za wawakilishi wa wanainchi pale mjengoni kikatiba, and that ni lesson for other day ingawa ni vitu ambavyo viko wazi na bayana sana 🐒
sasa leo, muungwana hapo juu amehitaji tu kufahamu, tena amekua muungwana kweli kwamba, si kwa ubaya lakini ni sababu ipi imefanya watunga sheria kulipwa salary ya 18m🐒
na binafsi yangu nimekwisha toa maoni yangu tayari, na labda kuongeza tu kidogo hata gharama za chakula, malazi na makazi pale Dodoma zinabadilika kwa kuongezeka kila kipindi bunge linapoitishwa na kwahivyo kukawa na ulazima wa kuzingatiwa kwa hali hiyo 🐒
haiwezekani mtunga sheria anaingia mjengoni, ana njaa au nanafikiria ada ya mtoto wake shule au kodi ya pango au malazi hotelini au wanainchi jimboni halafu akachangia hoja vizuri 🐒
lazima umtegemeze mtu huyu kwa hali na mali ili afikiri na kuamua vema mustakabali wa Taifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Kwann unafikiri hivyo kijana wangu?una utani mwingi sana jamaa kwa keyboard 🐒
ingawa tena unaleta hoja ya uingereza mie sintaenda huko sana 🐒Bunge la uingereza ambayo ni donar country na mlezi wa nchi yetu haliko Kama letu,wabunge wa kule hawana anasa kama kwetu,Wala hawalipwi pesa za anasa kama kwetu sasa kwanini mpaka Leo tuko maskini wakati wabunge hao wanaotegemezwa vizuri wanawaza sahihi? Kwanini wameshindwa hata kutunga sera nzuri ya kuwajengea makazi Bora wananchi waindokane na stress za kujenga na migogoro ya aridhi ili kwamba hizo pesa wanazopata kwenye mihangaiko yao zifanye mambo mengine ikiwa ni pamoja na kulipa kodi,kwenda kutalii Kama ambavyo wenzetu wanafanya,wanunue magari mazuri,wasomeshe watoto wao kwenye shule nzuri n.k
Kwa aina ya uchumi wetu huoni kulipana hivyo kunaweza kukausha hazina na kupelekea mahitaji mengine kukwama?ingawa tena unaleta hoja ya uingereza mie sintaenda huko sana 🐒
kuna hoja hapo muhimu sana ya kimantiki umeibua, na hiyo inaweza kabisa kua ndiyo sababu ya msingi sana ikifanyiwa utafiti yakinifu, kwa wawakilishi kutokukonga nyoyo zako na kutokukidhi matarajio yako, mathalani kwenye hivyo vitu vichache ulivyovitaja kwa mfano kuondoa umaskini, kutunga sera nzuri za makazi bora na kusaidia wanainchi kuondokana na stress za migogoro ya ardhi na mambo mengine yanayofanana na hayo 🐒
ni vizuri kuzingatia maslahi ya hawa watunga sheria kwa umuhimu na umakini mkubwa sana na hasa ukizingatia uzito, umuhimu na ukubwa wa kazi na majukumu yao kwa wanainchi na Taifa kwa ujumla 🐒
ukitaka kitu kizuri usilalamikie gharama, 35-40m is reasonable and affordable kwa maoni yangu 🐒
hapana, hiyo nakataa kabisa sikubaliani na wewe 🐒Kwa aina ya uchumi wetu huoni kulipana hivyo kunaweza kukausha hazina na kupelekea mahitaji mengine kukwama?
mobilization technique yako ya kiungwana mno lakini pia ya kisasa zaid 🐒Kwann unafikiri hivyo kijana wangu?
ungependekeza iweje ili kuleta mafanikio?mobilization technique yako ya kiungwana mno lakini pia ya kisasa zaid 🐒