TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #21
😂😂😄 nawanakuwekea mkeka kabisa wakususuteNdio watanzania walivyo hasa kina mama,
Wamama wengi wa kitanzania unapo msimulia tatizo lako hukimbilia kusema nilikwambia, ungenisikiliza ingekuwa hivi mara hivi,
Achana na hapo mtanzania mara nyingi akikutana na mwezake mada zao mara nyingi ni matatizo ya wezao, na shida za wezao hiyo haijengi.
Wamama wa kibongo badilikeni