Si kwamba wanaojiua kutokana na matatizo ama changamoto za kimaisha hawawashirikishi watu

😂😂😄 nawanakuwekea mkeka kabisa wakususute
 
Kuna jamaa alikuwa anawacheka sana watu wanaopigiwa wachumba zao na wake zao kitu kama bandarini sikumbuki.
ila jamaa akaja naye kuoa akapigiwa.kilichofata kujiua maana aibu itawekwa wapi
Wanasema usitukane mamba wakati hujavuka mto ati
au kama ni ndoa wanakwambia vumilia ndoa ndo zilivyo
😂😂hakuna ndoa iliyotulia yaani🤪
 
Absolutely,
 
Kuna changamoto kwenye maisha kama sio Mungu tusingekua tuna reply nyuzi izi

So many times nimetaka kufa na kujiua but God kept me

Kuna muda izo formula zinagoma lakini Mungu aiseee ametuvusha.
Mungu ana Maguvu sana ndugu,ndiye mwenye maamuzi ya mwisho
 
Mkuu sijui nikushuru vipi.. ila ahsante sana kwa ujumbe huu.. vijana tunahtaji sana jumbe kama hizi, make nyakat ngumu zinakuja na zpo. sio kwamba nakuwa pessimistic ila ndo uhalisia.. honestly nyuzi kama huu ndo vilinifanya nijiunge hapa... VP HAKUNA SEHEMU YA KUKUPIGIA KURA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…