Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

You are a dreamer! Bei inapangwa kufuatana na gharama za uendeshaji haipangwi kwa utashi wa watu; ukifanya hivyo lazima ufilisike!
Kusingekuwepo na Ryanair, uliza uambiwe nini budget airlines.
 
Sumu hatunywi, ila hilo liuwanja halina tija. Hata hao abiria wachache wanaoteremkia hapo ni wa Ngara, Muleba na Karagwe.

Mwendazake alifuja sana Kodi zetu kwa kuwekeza kipumbafu Kijijini kwake
Yaani wewe ndo ovyo kabisa! Kama kuna abiria wa Ngara, Muleba na Karagwe si wamepata sehemu ya kupandia ndege? Ulitaka waende mwanza?
Acheni propaganda, uwanja huo ni wa Geita! Abiria wameongezeka hadi zaidi ya 300 kwa mwezi, soma gazeti la Mwananchi la jana
 
Uko deep, that was the plan. Ila Mwendazake akafanya ndivyo sivyo kwa msukumo wa rushwa ( commission)
 
Hapo umedhihirisha umburura wako. Abiria 300 kwa mwezi sawa na 75 kwa wiki au 37 kwa trip 2 za kwenda na kurudi. Yaani wana drop 18 Chato na wanapanda 18.

Bado kimahesabu hailipi kupeleka Bombardier itue na kupanda kwa idadi hiyo ya abiria.
 
Sasa

Sasa hapo umburura uko wapi? Watu wanatoka Dar hadi Mwanza na abiria wawili tu! Unashanga chato abiria kupata abiria 18?
Wewe ni wa ajabu sana
 
Sasa

Sasa hapo umburura uko wapi? Watu wanatoka Dar hadi Mwanza na abiria wawili tu! Unashanga chato abiria kupata abiria 18?
Wewe ni wa ajabu sana
Halafu utegemee ATCL ipate faida kama unarusha ndege bila kujali mapato na gharama unazotumia??
 
Hapo ni GIT Mwaka huu!!. Ila ATCL wajirekebishe, wasiwe na kiburi cha kuacha abiria hata mmoja kama yuko tayari uwanja wa ndege.

Kwani hapo kosa la ATCL liko wapi kwa abiria anayeshindwa kuwahi kulingana na ratiba?

Hiyo ni ndege brother wala siyo bus la Nyahunge!
 
Kwani hapo kosa la ATCL liko wapi kwa abiria anayeshindwa kuwahi kulingana na ratiba?

Hiyo ni ndege brother wala siyo bus la Nyahunge!
Hakika usafiri wa ndege unakutaka uwahi lakini pale Air Tanzania "Check in counter" kuna figisu zinafanyika ambazo hazina tofauti na enzi za Fastjet. Kwa kuwa ATCL bado wako kwenye kujijenga wawe makini sana vinginevyo watapigwa mabao na makampuni mengine ya usafiri wa anga.
 
Biashara ya usafiri wa anga si kama ya daladala rafiki
Wewe unamiliki daladala ndiyo unataka kufananishwa na airline business!! Kujuwa biashara siyo sawa na kuwa na matako, kila mmoja anayo
 
Hapa tunajadili, sio matusi!, nafahamu biashara ya usafiri wa ndege sio ya daladala!,
Usidhani Geita hawana uhitaji wa usafiri wa ndege
Wewe unamiliki daladala ndiyo unataka kufananishwa na airline business!! Kujuwa biashara siyo sawa na kuwa na matako, kila mmoja anay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…