si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika ….

kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi 1. Nigeria 2 .Moroko 3. Misri .4 Algeria .5 Shelisheli 6.mauritius 7.tunisia 8 kenya 9. botswana 10 ghana.

Lakini si kweli kuwa Nigeria ndiyo inayoongoza.
 
Hatupingi kwa siyo kweli, ila tunapinga kwa takwimu ambazo zina ithabati.
 
Ulipaswa kusema siyo kweli ukataja sababu za kubatilisha chapisho linalosema Nigeria ni kinara, ukaweka na ushahidi wa takwimu. Lakini kwa ulivyofanya hauna tofauti na mropokaji.
 
Back
Top Bottom