Si mmejifanya kumfukuza Pierre Lechantre kwa Majungu sasa Masoud Djuma laana inamuanzia huko Nakuru

Leo unawakataa wanyama wako siyo?Blackberryyyyyy

Huwezi ukamfukuza Kocha mzuri na ' Fundi ' kama Mfaransa Pierre Lechantre halafu GENTAMYCINE nikakukubali. Nawasubiri wale ' Wanafiki ' na ' Wapuuzi ' ambao walikuwa wakimsifia Kocha Masoud Djuma waje na waniambie tofauti ya Kiufundi kati ya Lechantre na Djuma ambaye Mimi simkubali 100% na sioni kama atatufaa wana Simba SC. Anabahatisha sana huku akiungwa mkono kwa 100% na wale Wajumbe baadhi wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC ambao wanakula nae 10% kutoka Kwake na kwa wale Wachezaji wao wanaowaleta hapo katika hiyo Timu.

Tufungwe tu leo hakuna namna ili tuheshimiane!!!!!!!
 
Makocha wakubwa kukaa kwenye timu zetu ni ngumu sana nakumbuka mwaka Fulani nadhani simba ikiwa na Mo km mdhamini walimleta Trotty Moloto kutoka SA nadhani hakumaliza hata miezi mi3 akaondoka.
 
Nasikia akirudi mnamtangaza kocha mkuu halafu Matola anakuwa msaidizi.Huyu commentator wa Kenya mchochezi sana eti ngoja tuone huu mpira mtu Simba.
 
kwa kweli leo burudani ya soka tunaiona,gor mahia wanaonesha soka safi sana.
 
Afu Unakuta huyu naye baba wa familia.

Mbona sasa hivi umeandika kwa Kiswahili tena? Si ulijifanya kuniandikia na kunitusi kwa Kiingereza chako bahati mbaya Kwako na nzuri Kwangu umenikuta Mimi ni ' Wordsmith ' tena wa Kutukuka hivyo kokote nipo vizuri tena sana tu ' Mpuuzi ' mkubwa Wewe. Naona una hamu sana ya kujua kama Mimi ni Baba wa Familia au siyo ili labda uje uchukue nafasi ya Mke wangu kusudi uweze kuuchezea ' Mkuyenge ' wangu vilivyo kwani unaonekana unautamani na unauhitaji mno.
 
kwa kweli leo burudani ya soka tunaiona,gor mahia wanaonesha soka safi sana.

Ila Gor Mahia wananiudhi kwani wanatufunga taratibu sana wakati Mimi nataka watufunge hata goli 13 au 15 ili tukome!
 
Manji akiibuka anaye huyu. Tatizo la simba wajanjawajanja wako
wengi. Sisi kule mjanja wetu ni mzee Akilimali, akishushiwa gunia la viazi anatulia.
Ahhha hahaha kuna picha moja fulani anafinya ubwabwa
 
Ila Gor Mahia wananiudhi kwani wanatufunga taratibu sana wakati Mimi nataka watufunge hata goli 13 au 15 ili tukome!
hata mimi naona hivyo,huyu masoud djuma hamna kitu. timu haina malengo ya kutafuta bao. wangefungwa nyingi ili nae aanze safari la sivyo msimu ujao na mashindano ya kimataifa hatufiki mbali.
 
Laana ya Simba kuingiza siasa kwenye michezo haita isha..Ni kama ile ya kula rambirambi za mafisango..Wafungwe tu.
 
Imeniuma sana..tumepoteza mchezo! Timu haikuwa na Muunganiko mzuri tangu mwanzo wa mashindano mpaka leo fainali..kazi bado ni kubwa sana!
 
hata mimi naona hivyo,huyu masoud djuma hamna kitu. timu haina malengo ya kutafuta bao. wangefungwa nyingi ili nae aanze safari la sivyo msimu ujao na mashindano ya kimataifa hatufiki mbali.

Nashukuru kwa kunielewa Mkuu. Na nilionya hadi nikaanzisha ' Uzi ' hapa hapa JF wa kumtaka Mo Dewji asiingie ' mkenge ' na kuwasajili akina Adam Salamba wa Lipuli FC na Marcel Kaheza wa Maji Maji kwakuwa nilishaona uwezo wao ni mdogo na kwa Simba SC Wachezaji hao hawatufai bado kuna ' Wapuuzi ' na ' Wajinga ' fulani wachache hawakunielewa ila nadhani sasa kwa aina ya Viwango vyao walivyovionyesha huko Nakuru nchini Kenya ndipo watajua kwamba GENTAMYCINE nina ' jicho ' kali na la ' Kiufundi ' zaidi na huwa sikosei na sijawahi kukosea kwa kile ninachokiamini.

Mpira umemalizika na tumefungwa goli 2 kwa 0. Safi sana na bakini na huyo ' Mnafiki ' wenu Kocha Masoud Djuma Irambona. Namkumbuka sana Kocha wangu Pierre Lechantre niliyemkubali na niliyemwona ndiye angetukomboa Simba SC hasa Kimataifa na kushindana na akina TP Mazembe, Al Ahly, Mamelodi Sundown na akina Enyimba.

Kipigo hiki kiwe ' Fundisho ' Kwetu Simba SC na tuache ' Professionalism ' ifanya Kazi yake huku tukiacha ' Uswahili ' wetu.
 
Imeniuma sana..tumepoteza mchezo! Timu haikuwa na Muunganiko mzui tangu mwanzo wa mashindano mpaka leo fainali..kazi bado ni kubwa sana!

Na kama Kocha akibaki huyu huyu ' Mpuuzi ' wenu na ' Mnafiki ' Masoud Djuma Irambona sahauni kupata mafanikio mnayoyataka. Ni Kakocha ' Kapumbavu ' halafu nakachukia kweli kwakuwa ndiye Mtu mwenye ' Majungu ' ndani ya Timu huku akiwagawa mno Wachezaji na bahati mbaya sana Uongozi wa Simba SC unamlea.
 
Mkuu Kaheza, Salamba na Mo aliyetoka Prisons bora kina Mavugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…