Robbykan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 509
- 469
Hahahaha.....son of a bitchMbona safari hii umeandika kwa nidhamu sana? Hopeless Wewe ulitaka unizoee hovyo na umekuja Kwangu Kichwa Kichwa na umevuna ulichokipanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha.....son of a bitchMbona safari hii umeandika kwa nidhamu sana? Hopeless Wewe ulitaka unizoee hovyo na umekuja Kwangu Kichwa Kichwa na umevuna ulichokipanda.
Leo unawakataa wanyama wako siyo?Blackberryyyyyy
Hahahaha.....son of a bitch
Afu Unakuta huyu naye baba wa familia.Ha ha ha ha ha Son of a ' typical Slat '.
Nasikia akirudi mnamtangaza kocha mkuu halafu Matola anakuwa msaidizi.Huyu commentator wa Kenya mchochezi sana eti ngoja tuone huu mpira mtu Simba.Huwezi ukamfukuza Kocha mzuri na ' Fundi ' kama Mfaransa Pierre Lechantre halafu GENTAMYCINE nikakukubali. Nawasubiri wale ' Wanafiki ' na ' Wapuuzi ' ambao walikuwa wakimsifia Kocha Masoud Djuma waje na waniambie tofauti ya Kiufundi kati ya Lechantre na Djuma ambaye Mimi simkubali 100% na sioni kama atatufaa wana Simba SC. Anabahatisha sana huku akiungwa mkono kwa 100% na wale Wajumbe baadhi wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC ambao wanakula nae 10% kutoka Kwake na kwa wale Wachezaji wao wanaowaleta hapo katika hiyo Timu.
Tufungwe tu leo hakuna namna ili tuheshimiane!!!!!!!
Afu Unakuta huyu naye baba wa familia.
kwa kweli leo burudani ya soka tunaiona,gor mahia wanaonesha soka safi sana.
Ahhha hahaha kuna picha moja fulani anafinya ubwabwaManji akiibuka anaye huyu. Tatizo la simba wajanjawajanja wako
wengi. Sisi kule mjanja wetu ni mzee Akilimali, akishushiwa gunia la viazi anatulia.
hata mimi naona hivyo,huyu masoud djuma hamna kitu. timu haina malengo ya kutafuta bao. wangefungwa nyingi ili nae aanze safari la sivyo msimu ujao na mashindano ya kimataifa hatufiki mbali.Ila Gor Mahia wananiudhi kwani wanatufunga taratibu sana wakati Mimi nataka watufunge hata goli 13 au 15 ili tukome!
wengine wapo lokapuManji akiibuka anaye huyu. Tatizo la simba wajanjawajanja wako
wengi. Sisi kule mjanja wetu ni mzee Akilimali, akishushiwa gunia la viazi anatulia.
hata mimi naona hivyo,huyu masoud djuma hamna kitu. timu haina malengo ya kutafuta bao. wangefungwa nyingi ili nae aanze safari la sivyo msimu ujao na mashindano ya kimataifa hatufiki mbali.
Imeniuma sana..tumepoteza mchezo! Timu haikuwa na Muunganiko mzui tangu mwanzo wa mashindano mpaka leo fainali..kazi bado ni kubwa sana!
Mkuu Kaheza, Salamba na Mo aliyetoka Prisons bora kina MavugoNashukuru kwa kunielewa Mkuu. Na nilionya hadi nikaanzisha ' Uzi ' hapa hapa JF wa kumtaka Mo Dewji asiingie ' mkenge ' na kuwasajili akina Adam Salamba wa Lipuli FC na Marcel Kaheza wa Maji Maji kwakuwa nilishaona uwezo wao ni mdogo na kwa Simba SC Wachezaji hao hawatufai bado kuna ' Wapuuzi ' na ' Wajinga ' fulani wachache hawakunielewa ila nadhani sasa kwa aina ya Viwango vyao walivyovionyesha huko Nakuru nchini Kenya ndipo watajua kwamba GENTAMYCINE nina ' jicho ' kali na la ' Kiufundi ' zaidi na huwa sikosei na sijawahi kukosea kwa kile ninachokiamini.
Mpira umemalizika na tumefungwa goli 2 kwa 0. Safi sana na bakini na huyo ' Mnafiki ' wenu Kocha Masoud Djuma Irambona. Namkumbuka sana Kocha wangu Pierre Lechantre niliyemkubali na niliyemwona ndiye angetukomboa Simba SC hasa Kimataifa na kushindana na akina TP Mazembe, Al Ahly, Mamelodi Sundown na akina Enyimba.
Kipigo hiki kiwe ' Fundisho ' Kwetu Simba SC na tuache ' Professionalism ' ifanya Kazi yake huku tukiacha ' Uswahili ' wetu.