GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku mnatupigia Mikelele yenu ya Kishamba kuwa mna Kikosi cha Kucheza Fainali ya CAFCL sasa kwanini leo Wote mna Nyuso za Huruma, mnalia lia huku mkimwomba Mungu msipangiwe na Giants?
Wapuuzi nyie leo ndiyo mtajua hamjui baada ya Draw huko Johannesburg ( Gauteng ) Afrika Kusini kuanzia Saa Tisa ( 9 ) za Alasiri.