GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Waonee huruma watoto wa mwanaume mwenzioMnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku mnatupigia Mikelele yenu ya Kishamba kuwa mna Kikosi cha Kucheza Fainali ya CAFCL sasa kwanini leo Wote mna Nyuso za Huruma, mnalia lia huku mkimwomba Mungu msipangiwe na Giants?
Wapuuzi nyie leo ndiyo mtajua hamjui baada ya Draw huko Johannesburg ( Gauteng ) Afrika Kusini kuanzia Saa Tisa ( 9 ) za Alasiri.
Watanikoma Mkuu nina Hasira nao nilizozihifadhi kwa muda mrefu kutokana na Majigambo yao ya Kishamba.Waonee huruma watoto wa mwanaume mwenzio
Popoma at her best[emoji3]Watanikoma Mkuu nina Hasira nao nilizozihifadhi kwa muda mrefu kutokana na Majigambo yao ya Kishamba.
Acha kuwaonea Huruma kabisa Mkuu.
sisi tupo kimya mnaohangaika ni nyieMnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku mnatupigia Mikelele yenu ya Kishamba kuwa mna Kikosi cha Kucheza Fainali ya CAFCL sasa kwanini leo Wote mna Nyuso za Huruma, mnalia lia huku mkimwomba Mungu msipangiwe na Giants?
Wapuuzi nyie leo ndiyo mtajua hamjui baada ya Draw huko Johannesburg ( Gauteng ) Afrika Kusini kuanzia Saa Tisa ( 9 ) za Alasiri.
Aahaaaaa,jamaaa anahangaika sanasisi tupo kimya mnaohangaika ni nyie
We sema tu unakhofia Yanga kuingia fainali CAF CL,aaahaaaaMnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku mnatupigia Mikelele yenu ya Kishamba kuwa mna Kikosi cha Kucheza Fainali ya CAFCL sasa kwanini leo Wote mna Nyuso za Huruma, mnalia lia huku mkimwomba Mungu msipangiwe na Giants?
Wapuuzi nyie leo ndiyo mtajua hamjui baada ya Draw huko Johannesburg ( Gauteng ) Afrika Kusini kuanzia Saa Tisa ( 9 ) za Alasiri.
gentamycine nataka kukwamia tu yanga wanabahati na hii michezo ya kimataifa utaona draw ya leo!Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku mnatupigia Mikelele yenu ya Kishamba kuwa mna Kikosi cha Kucheza Fainali ya CAFCL sasa kwanini leo Wote mna Nyuso za Huruma, mnalia lia huku mkimwomba Mungu msipangiwe na Giants?
Wapuuzi nyie leo ndiyo mtajua hamjui baada ya Draw huko Johannesburg ( Gauteng ) Afrika Kusini kuanzia Saa Tisa ( 9 ) za Alasiri.
Toa hiyo takataka (simba) timu haijawah nusa final wala haina kikombe chochote cha africa, utaitaje mbabe wa Africa!Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )
Simba SC ( Tanzania )
TP Mazembe FC ( Congo DR )
Mafuriko Kigamboni FC ( Tanzania )
Kila Siku mnatupigia Mikelele yenu ya Kishamba kuwa mna Kikosi cha Kucheza Fainali ya CAFCL sasa kwanini leo Wote mna Nyuso za Huruma, mnalia lia huku mkimwomba Mungu msipangiwe na Giants?
Wapuuzi nyie leo ndiyo mtajua hamjui baada ya Draw huko Johannesburg ( Gauteng ) Afrika Kusini kuanzia Saa Tisa ( 9 ) za Alasiri.
Kweli kabisa yanga Wana bahati sana..amini usiamini Yanga watapangwa na timu za kawaidagentamycine nataka kukwamia tu yanga wanabahati na hii michezo ya kimataifa utaona draw ya leo!