Si mtu mweusi bali mwarabu alipeleka ustaarabu ulaya

Mwarabu alter kyupi wakati yeye ashindia Msuli tuuuu?
 
Toyota War - Wikipedia vita nyingine hii hapa iliyoambatana na kichapo kwa mwarabu kutoka kwa waafrika.Gaddafi mwenyewe alikiri kuwa waafrika weusi ni majasiri kuliko waarabu.
 
Opium ilitumika zama za zamani sana kabla ya yesu kipindi hicho watu wa madawa waliitwa alchemist ilikuwa ni kundi kubwa wakiwemo madaktari sasa kutokana na muingiliano wa itafutaji wa dawa mbali mbali wa japan walikuja na hii walitumia bangi na opium poppy (opium milk) kuondoa maumivu wakati wa upasuaji wakati huo indian na waarabu hawakua nyuma pia hawa egyptian ndio watu wa kwanza katika swala zima la elimu ya madawa na vitu vingi vya kisayansi katika historia alitokea jamaa mmoja anaitwa mohammed ibin raazi huyo alitengeneza kilevi pure yaana ethanol , mgiriki alitoka kwake na kuja africa (egypt) kujifunza ustaarabu na elimu namna ya kuvaa. Vitu vingi mzungu alikuja kuendeleza tu. Pia katika historia ya alchemy anatokea mwanamke mmoja wa kiafrika huko egypt yeye alikuwa wa kwanza kuleta manukato duniani na nadhani hata kioo kilitengenezwa africa au nchi za asia. Sema wengi walikuwa wanakimbilia nchi za ulaya ndio kilicho tuponza tukaonekana hatujangudua kitu chochote.
 
Weusi waliwapokea Waarabu huko North Africa?

Kama ndivyo, uje utueleze nini kilitokea mpaka nchi zote za Northern Africa kuwa za Waarabu tupu?
Weusi walienda wapi?
 

HIZI STORI ZA KUSADIKIKA! THEN WHAT HAPPENED HADI MTU ALIYEKUWA ANAKUNYA HOVYO AMTAWALE MWARABU NA MWAFRIKA KWA MPIGO? WAKATI UISLAM UNAENDA ULAYA, ULAYA ILISHAKUWA MBALI. KUMBUKA WAKATI HUO UKRISTO ULISHAFIKA NCHI ZOTE ZA ULAYA KUPITIA DOLA YA RUMI. WAGIRIRI WALISHATAWA KITAMBO SANA ULAYA WAKATI HUO HATA KABLA YA DOLA YA RUMI NA KABLA YA KUZALIWA KWA KRISTO. ETI LEO WAISLAM NDO WALIOWAZINDUA AKILI WAZUNGU KUVAA NGUO. UWONGO MWINGINE MUWE MNAUVALISHA CHUPI. MSIAMINI KILA KINACHOANDIKWA, TUMIAENI AKILI KUDADAVUA UWONGO NA UKWELI.
 
baada ya mwarabu kuja kwetu afrika na kutupa utamaduni wake na dini yake yeye, ndio akatubeba wafrika
ZULU KINGS,THE GREAT ZIMBABWE MASAI NATION.ina maana na wao walileletewa utamaduni na kubebwa na waarabu.
 
Waafirika Weusi Waislamu ndio waliotawala ulaya. Walikuwa wakiitwa Moors.
 
Mwarabu wa asili,sio mtu mweupe,mwarabu ni mtu mweusi,wa nywele za maboga boga.Ni baada ya kuoana na watumwa,waliotoka nchi za ulaya ya mashariki,kupelekwa nchi za kiarabu,ndio wakapatikana machotara weupe wa kiarabu.Taifa la kiarabu,limepoteza uasili yake,waarabu wachache sana,wa asili,weusi,wanapatikana wachache.Wapo waliobakia katika kisiwa cha Skotra,karibu na Yemen,ni miongoni mwa sehemu,zenye waarabu wa asili,weusi.
 
kwanini hawakuitwa Africans? or Tuaregs? or Bahimas? or khoisans? or Zulu? etc.
Moors ni Jina walilopewa na Watawaliwa Mkuu. Ingia kidogo kwenye Google tafuta ethnicity of the moors wanakuonyesha hadi I sura za watawala hao.
 
Moors ni Jina walilopewa na Watawaliwa Mkuu. Ingia kidogo kwenye Google tafuta ethnicity of the moors wanakuonyesha hadi I sura za watawala hao.
Usiamini kila kilichopo katika google. Ukweli ni moja tu, kwamba wenzetu wazungu wametangulia kuzinduka katika katika masuala ya maendeleo. Sisi tunapambana ku copy na ku paste.
 
Hahahahaha we jamaa ni mpuuzi sana..! Watu wapo serious we unaleta characters wa fictional movies..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mwarabu peke yake kama mwarabu hajawahi kushinda vita dhidi ya afrika na mataifa mengine.
tafuta sababu iliyowakimbiza european christian, adi kutafuta root ya kwenda india kwa kuzunguka afrika maana kabla ya apo walikua wanapita njia ya ardhi kupitia uturuki adi india kichapo walichokua wanakipata kutoka kwa mwarabu kilikua hatari.
 
Waafirika Weusi Waislamu ndio waliotawala ulaya. Walikuwa wakiitwa Moors.
sawa ila point ni kua hakuna utamaduni wa mwafrika mweusi waliopeleka kule walichopeleka ni dini ya kiislam na ustaarabu wa mwarabu.
 
Sky Eclat nimeona nichangie katika uzi huu kwa jinsi nilivyoweza kupata hii article ili tuweze kupanua mawazo.
A tribute to Zakariya Razi (865 - 925 AD), an Iranian pioneer scholar.
Modanlou HD1.
Author information
1
Department of Pediatrics, University of California, Irvine Medical Center, U.S.A. Modanlou@uci.edu
Abstract
The resurgence of Islamic Civilization in the Near East in the 7th century AD and its expansion to Persian Empire and Westward provided opportunities of access Persian, Hellenic, and Roman writings in philosophy and medicine. Based on their observations and experiences, Islamic physician-philosophers expanded upon those writings and at times challenged them. Among these physician-philosophers admiring and challenging Galen was Zakariya Razi described as the greatest physician of Islam and Medieval Ages.A search of electronic and written materials about early Islamic Medicine was carried out focusing on Persian physician-philosophers Zakariya Razi. Abu Bakr Mohammad Ibn Zakariya al-Razi, known in the West as Rhazes, was born in 865 AD in the ancient city of Rey, Near Tehran. A musician during his youth he became an alchemist. He discovered alcohol and sulfuric acid. He classified substances as plants, organic, and inorganic. At age 30, he undertook the study of medicine. He was a prolific writer with more than 184 texts in medicine attributed to him with 40 of them currently available. Among them are Kitab al-Mansoori, Kitab al-Hawi, and Kitab al -Judari wa al-Hasabah. The latter is the first scientific description for the recognition and differentiation of smallpox and measles. The Bulletin of the World Health Organization of May 1970 pays tribute to Razi by stating "His writings on smallpox and measles show originality and accuracy, and his essay on infectious diseases was the first scientific treatise on the subject". Razi established qualifications and ethical standards for the practice of medicine. Zakariya Razi was not only one of the most important Persian physician-philosophers of his era, but for centuries his writings became fundamental teaching texts in European medical schools. Some important aspects of his contributions to medicine are reviewed.

A tribute to Zakariya Razi (865 - 925 AD), an Iranian pioneer scholar. - PubMed - NCBI
 
Asante sana mkuu umeelimisha wengi
 
sawa ila point ni kua hakuna utamaduni wa mwafrika mweusi waliopeleka kule walichopeleka ni dini ya kiislam na ustaarabu wa mwarabu.
ila Najua warumi walikuwa wanatahiri. Isipokuwa sina uhakika kutahiri kulianza na wamisri au waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…