kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
- Thread starter
- #61
Waarabu wameanza kustaarabika na kuendelea kisayansi baada ya kuingia kwa uislamu karne ya 7. Lakini waroma walitawala dunia, walikuwa na mabafu ya jumuia, walijenga viwanja vya maonyesho ambavyo leo ndiyo tunadizaini viwanja vya mipira, walijenga barabara nk kabla ya karne ya kwanza, zaidi ya karne 7 kabla mwaarabu hajaanza kustaarabika utasemaje mwarabu kaleta ustaarabu ulaya?. Kilichomsaidia mwaarabu ni kuwa wa kwanza kumiliki bunduki/mizinga baada ya kuiba teknolojia ya gunpowder china. Hiyo ndiyo ilifanya waweze kuiteka spain na kuitawala miaka 800.