Waarabu wameanza kustaarabika na kuendelea kisayansi baada ya kuingia kwa uislamu karne ya 7. Lakini waroma walitawala dunia, walikuwa na mabafu ya jumuia, walijenga viwanja vya maonyesho ambavyo leo ndiyo tunadizaini viwanja vya mipira, walijenga barabara nk kabla ya karne ya kwanza, zaidi ya karne 7 kabla mwaarabu hajaanza kustaarabika utasemaje mwarabu kaleta ustaarabu ulaya?. Kilichomsaidia mwaarabu ni kuwa wa kwanza kumiliki bunduki/mizinga baada ya kuiba teknolojia ya gunpowder china. Hiyo ndiyo ilifanya waweze kuiteka spain na kuitawala miaka 800.
Ulaya wqlikuwa wanapaa na mafagio kuroganaKatika historia ya tiba, wa Japan ndiyo walianza tiba ya upasuaji. Waliweza kumpa mgonjwa dawa zao za asili na akalala na kupoteza fahamu mpaka upasuaji kukamilika.
Wahindi waliweka bangi kwenye chetezo Huku walimpa mgonjwa pombe mpaka anapoteza fahamu ndipo wanamfanyia upasuaji.
Waarabu walikuwa na break through ya utumiaji wa opium ambao mpaka leo unatumika kama anaesthetic
Hizo nistory zilizoendana na ukweli.Hahahahaha we jamaa ni mpuuzi sana..! Watu wapo serious we unaleta characters wa fictional movies..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Vipi kuhusu wale wa Saudi Arabia wengi wao ni weusiMwarabu wa asili,sio mtu mweupe,mwarabu ni mtu mweusi,wa nywele za maboga boga.Ni baada ya kuoana na watumwa,waliotoka nchi za ulaya ya mashariki,kupelekwa nchi za kiarabu,ndio wakapatikana machotara weupe wa kiarabu.Taifa la kiarabu,limepoteza uasili yake,waarabu wachache sana,wa asili,weusi,wanapatikana wachache.Wapo waliobakia katika kisiwa cha Skotra,karibu na Yemen,ni miongoni mwa sehemu,zenye waarabu wa asili,weusi.