Si nina ibiwa hapa??

Lea tu mkuu you never know anaweza kuwa Diamond ajae so far kulea mtoto mpaka awe mtu mzima ni kama fadhira tu otherwise tulitakiwa kuwa kama kuku au ng'ombe baada ya umri fulani no relationship kila mtu na njia yake
 
Mkuu tatizo sio kulea,,tatizo ni utata uliopo kwenye izo tarehe
 
hapo uwezi sema yako au siyo yako mwambie aende akapime alaf akuambie ina muda gani then kokotao tena hesabu kuanzia siku uliyofanya nae tendo hadi hapo sasa utapata jibu sahihi kabisa
 
hapo uwezi sema yako au siyo yako mwambie aende akapime alaf akuambie ina muda gani then kokotao tena hesabu kuanzia siku uliyofanya nae tendo hadi hapo sasa utapata jibu sahihi kabisa
Shukrani mkuu nimekuelewa vyema kbisa
 
Subiri aje apime ujauzito(kama anao) then akiambiwa ni ujauzito wa miezi kadhaa ndio ufanye hesabu zako.
 
Kubali mpe mwanya awe ame relax then anza mahesabu makali, hadi ifike miezi miwili utapata majibu.

Wewe nenda nae sambamba tu bro, karibu ukubwani
 
Lea tu mkuu...baba wa ntoto hujua mama..
 
discrepancy kubwa Sana ya tarehe hapo mkuu, hio haikuhusu kabisa mkuu. written with confidence, yours truly
 
Hiyo sio yako km 8/9 aone 7/10 means ni regular mpk kapata doubt kitaalamu ovulation inatokea siku ya 14. So most danger days 12-16, japo kwa wengine inaweza anza 10-18. Tuanzie hapo, 8+10=18, 8+18=26, So kwake danger days ni 18-26/9... Kipindi unasex danger days zilikuwa zshapita. Hapo ni kikendu. Usimwamini mwanamke, mi yalinitokea km wewe ila kwa vile nna shule ya afya nilipt info zote za manzi mpk alivyopt mimba
 
Thanks mkuu
 
Possible coz, from 9/9 mpk 1/10 ni siku aprox to 20. Siku ambazo si safe ni 10-20 kutegemeana na mzunguko wake..Pia huwa kuna ambao mzunguko hautabiliki. Usipaniki jisndae kulea

Shukran mkuu
Kwa kuwa siku zake za awali anazifahamu, Fanya naye hesabu uone hiyo tarehe 1/10 inaangukia kwenye namba ipi katika hizo picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…