chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
- Thread starter
- #21
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] balaa mkuuCku izi kubambikiziwa nje nje kua makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] balaa mkuuCku izi kubambikiziwa nje nje kua makini
Hapa amenoa mkuu nshamchanaMBAMBIKO HUOOOO!!!!
[emoji2] [emoji2] hawa viumbe pasua vichwa mana nikipiga mahesabu hapo hainipi kabsaandaa hela za pampas mengine mbele ya safari
Mkuu tatizo sio kulea,,tatizo ni utata uliopo kwenye izo tareheLea tu mkuu you never know anaweza kuwa Diamond ajae so far kulea mtoto mpaka awe mtu mzima ni kama fadhira tu otherwise tulitakiwa kuwa kama kuku au ng'ombe baada ya umri fulani no relationship kila mtu na njia yake
Shukrani mkuu nimekuelewa vyema kbisahapo uwezi sema yako au siyo yako mwambie aende akapime alaf akuambie ina muda gani then kokotao tena hesabu kuanzia siku uliyofanya nae tendo hadi hapo sasa utapata jibu sahihi kabisa
Subiri aje apime ujauzito(kama anao) then akiambiwa ni ujauzito wa miezi kadhaa ndio ufanye hesabu zako.Habari sana wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye point,nipo kwenye Mahusiano na bint mmoja kwa mwez sasa ila tupo mbali mbali kimkoa cha ajabu juz ananiambia haoni cku zake it means anaujauzito suala la ujauzito sio tatitzo tatitizo nnaona harufu ya kubambikiziwa Mana anasema aliingia hedhi tarehe 8/9 na alitakiwa azione tena 7/10 na Mimi nilkutana nae kimwili Mara ya mwisho tarehe 1/10 nikipiga mahesabu naona nataka kubambikiziwa wakuu mnaojua hata mambo ebu nisaidien ki ushauri mana nmemwambia sio yangu yeye analia anasema ni yangu.
Natanguliza shukran.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hawa viumbe balaaKubali mpe mwanya awe ame relax then anza mahesabu makali, hadi ifike miezi miwili utapata majibu.
Wewe nenda nae sambamba tu bro, karibu ukubwani
Asante mkuuSubiri aje apime ujauzito(kama anao) then akiambiwa ni ujauzito wa miezi kadhaa ndio ufanye hesabu zako.
Thanks mkuuHiyo sio yako km 8/9 aone 7/10 means ni regular mpk kapata doubt kitaalamu ovulation inatokea siku ya 14. So most danger days 12-16, japo kwa wengine inaweza anza 10-18. Tuanzie hapo, 8+10=18, 8+18=26, So kwake danger days ni 18-26/9... Kipindi unasex danger days zilikuwa zshapita. Hapo ni kikendu. Usimwamini mwanamke, mi yalinitokea km wewe ila kwa vile nna shule ya afya nilipt info zote za manzi mpk alivyopt mimba
Possible coz, from 9/9 mpk 1/10 ni siku aprox to 20. Siku ambazo si safe ni 10-20 kutegemeana na mzunguko wake..Pia huwa kuna ambao mzunguko hautabiliki. Usipaniki jisndae kulea
Kwa kuwa siku zake za awali anazifahamu, Fanya naye hesabu uone hiyo tarehe 1/10 inaangukia kwenye namba ipi katika hizo picha.Shukran mkuu
Sante mkuuView attachment 895206
View attachment 895207
Kwa kuwa siku zake za awali anazifahamu, Fanya naye hesabu uone hiyo tarehe 1/10 inaangukia kwenye namba ipi katika hizo picha.