Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Nlikosea figure aliingia tarehe 4/9 nkakutana nae 10/9 ,nkaja kukutana nae tena 1/10 juz ndo anadai hazion cku mm sio mtaalamu wa haya mahesabu ndo Mana nmeleta mnishauri
Santee sana mkuuWizi mtakatifu. Tena kama mzunguko wa siku 28-30 na alianza 8/9, wewe ukakutana nae tar 1/10, siku zake mbaya zinaanzia 18/10-21/10, hata kama zilianza baadae, tar 1/10 chances za mimba ni 2%, tarehe 1 thats a week before next period kupata mimba labda iwe ya kitakatifu kama ya bikira maria. Au mlikutana tena kabla.
Nimeamini mkuu,,wanaweke wengine shida tupuSio yakoooo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa nn??Vijana mlio toka Facebook mnatupa tabusanaa wazee wa jf!