Si nina ibiwa hapa??

Si nina ibiwa hapa??

Wizi mtakatifu. Tena kama mzunguko wa siku 28-30 na alianza 8/9, wewe ukakutana nae tar 1/10, siku zake mbaya zinaanzia 18/10-21/10, hata kama zilianza baadae, tar 1/10 chances za mimba ni 2%, tarehe 1 thats a week before next period kupata mimba labda iwe ya kitakatifu kama ya bikira maria. Au mlikutana tena kabla.
Santee sana mkuu
 
Back
Top Bottom