NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Hilo zigo la misumari kwa mleta mada, huyo Dada apeleke alikobebeshwa utakuwa mzigo wa sukari baadae kwa mwenye mzigoHiyo sio yako km 8/9 aone 7/10 means ni regular mpk kapata doubt kitaalamu ovulation inatokea siku ya 14. So most danger days 12-16, japo kwa wengine inaweza anza 10-18. Tuanzie hapo, 8+10=18, 8+18=26, So kwake danger days ni 18-26/9... Kipindi unasex danger days zilikuwa zshapita. Hapo ni kikendu. Usimwamini mwanamke, mi yalinitokea km wewe ila kwa vile nna shule ya afya nilipt info zote za manzi mpk alivyopt mimba