Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli.
Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma.
Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration zilizozalishwa na migogoro ndani ya chama. Walipaswa kwenda mikoa isiyo na biashara nyingi kama hii. Kwamba tunategemea Arusha utalii utapanda? Kwa trust gani wageni waliyonayo kwa kiongozi huyu mpya?
Tuwekeze sana kupanga safu ya kusimamia maendeleo kuliko vurugu za kisiasa .