Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Na watalii watapeana habari kuwa Arusha sasa inaongozwa na mkiukaji mkuu wa haki za binadamu aliyekataliwa Mbinguni, Marekani na ndani ya Fisiemu yenyewe
Kwa unashauri aende wapi vile? Kigoma? Tabora? Au Singida eti
Kwa anavyotafutwa...unaezakuta yupo sanawari kwa juu huko mitaa ya enaboishu...kwenye makabichi..homeland Security wana hamu nae mno...!Hivi P.Diddy kishawahi fika Arusha🤣
Ni kama serikali haina nia yeyote ya kuleta maendeleo zaidi ya kupeana ulaji.
MAKONDA SAFI SANA KWA MKOA WA ARUSHA, COLABO LAKE AKIWEKEWA OLE SABAYA KAMA MKUU WA WILAYA ARUSHA MJINI MNASEMAJE (CHADOMO) KWA MIXER HILO ADHIMU.Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli.
Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma.
Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration zilizozalishwa na migogoro ndani ya chama. Walipaswa kwenda mikoa isiyo na biashara nyingi kama hii. Kwamba tunategemea Arusha utalii utapanda? Kwa trust gani wageni waliyonayo kwa kiongozi huyu mpya?
Tuwekeze sana kupanga safu ya kusimamia maendeleo kuliko vurugu za kisiasa .
Hao watu walifeli kwenye nini?Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli.