kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Ila kukata mauno kitambaa cheupeee ndio mnapenda sana kuku nyinyi
Acha kula sadaka za maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kukata mauno kitambaa cheupeee ndio mnapenda sana kuku nyinyi
Ila kubeti ndio sio wizi
Ni sahihi na ni wezi kweli tena wanatumia nguvu za giza kupumbaza waumini waoMimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita watumishi Hawa au wachungaji Hawa au mitume na manabii kuwa ni wezi ni uongo na upotoshaji mkubwa!
Dhana ya kudhani waumini hawana akili za kufikili au kudhani Hawa waumini ni maskini au wasio na elimu ni uongo pia! Kwenye makongamano haya na mikutano hii na ibada hizi wanaohudhuria ni maelfu ya watu! Wakiwemo wanasiasa ,maprofesa ! Ma doctor viongozi wa juu wa serikali na watu wa ulinzi na usalama ! Sio vichaa na si kweli kwamba hawana akili ! Pesa wanazotoa ni pesa zao halali na wanatoa kwa hiyari yao kama vile mtu anapoamua kutoa pesa ,ama kuhonga au kulewa na ama kununua magari ya kifahari huwezi kumwambia aliyehongwa ni mwizi au muuza bar ni mwizi au muuza magari ni mwizi!
Pesa iliyotolewa ni halali kwa kuwa aliyetoa ametoa katika mapato yake ! Iweje umuone kwamba anaibiwa wakati sio pesa zako ni zake ? Na ametoa akiwa hajalewa Wala kulazimishwa?? Mwandishi wa gazeti mwananchi ,anaitumia kalamu yake vibaya! Kwa hiyo ameona jarida la mwananchi ndio uwanja pekee wa Kutukana, kukashifu na kudhalilisha watumishi wa Mungu na Imani za watu bila kuwataja waliotapeli na waliotapeliwa!
Namfahamu mwandishi huyu hana adabu kabisa pale anapotaja jambo linalohusiana na ukristo ! Kila mtu akiamua kutumia kalamu kuandika maovu ya kufikirika na kuchafua Imani za wengine kwa maneno ya kebehi na dhihaka nchi yetu haitakuwa salama Tena! Kwenye hiyo mikutano inayomuumiza kichwa Rajabu ni uamsho wa watu kuanza kusilimu na kuukimbilia ukristo kwa Kasi kubwa ! Uwingi wa watu wanaohudhuria kwenye mikutano hii kama ule wa juzi pale kawe kwa mwamposa akina Rajabu na wenzao wanalala matumbo joto !
Sasa hata wahariri wa gazeti wamejikuta kwenye mkenge huu kukosa contenti na kuanza kuvurumisha kashfa kwa watumishi wa Mungu ! Wewe mwandishi achana na Imani isiyokuhusu simamiq Imani yako ! Kama unaona wanaoenda kwenye makanisa wanaibiwa zile ni pesa zao na wanatoa kwa hiyari hakuna anayewalazimisha kuzitoa! Na kama wamekwambia wanaibiwa waelekeze waende misikitini ambako hawataibiwa!
Watu kwa sasa wameamka sio wajinga Tena ! Kama ulivyochapisha habari za makakasisi kuwa ni matapeli ndivyo uchapishe na habari za mashekhe wanaowauzia watu mafuta na madawa ya kisuna na mapete ya bahati naliomba gazeti la mwananchi litoke hadharani na kuwataja wachungaji matapeli kwa ushahidi na kuwapeleka mahakamani kinyume chake tutalifungulia mashtaka hili gazeti kwa kupotosha umma na kutumika kuchafua na kudhalilisha Imani za watu wengine badala yake wawaombe radhi watumishi waliojaribu kuwahusianisha na porojo hizi kupitia gazeti la Mwananchi.
Wamulikwe na nani?Mimi ni mkristo ila gazeti la mwananchi linafakazi nzuri wezi , matapeli na majambazi wa madhabahuni wote lazima wamulikwe
USSR