Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

Ni sahihi na ni wezi kweli tena wanatumia nguvu za giza kupumbaza waumini wao
 
Mimi ni mkristo ila gazeti la mwananchi linafakazi nzuri wezi , matapeli na majambazi wa madhabahuni wote lazima wamulikwe

USSR
Wamulikwe na nani?
Wanaoibiwa hawajawahi kulalamika..jaribu kumsema mtumishi wao uone vita itakayotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…