Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
CCM is a powerful and strongly party!,who can bend it's majority decision?
Wajumbe wote kwa nguvu moja tulimteua Dr.samia awe rais wetu,pia amalizie nge yake ya pili katika awamu yake ya sita(6).
Sioni lolote linaloweza kufanyika kubatilisha uamuzi uliokwisha fikiwa na vikao vyote halali vya kichama,
#polepole #play low!,jipange karibu tena 2030.
#Angalia huyu kutwa nzima macho kodooo!,kwa ccm 😀