Huu ni mtegoBasi Red arrows wacheze na APR alf nyie mcheze na sisi ππππ
Tarehe 8 mtakua mabingwa wa ToyotaUkishazijua akili ya chura wala hautasumbuka. Wanacheza na hao Wazambia ili hao vyura wakishinda waseme wao sasa ndiyo mabingwa halali wa CECAFA. Hizi ndiyo akili zao zilivyo ndiyo maana wanapiga kelele deile wakidhani watamzuia tembo kunywa maji.
Mr Ulozi bado haujaenda kufanya makeke ya Makafara?Hatutaki....!!
Makolo Kwa kijifariji ujinga hamjambo.Ukishazijua akili ya chura wala hautasumbuka. Wanacheza na hao Wazambia ili hao vyura wakishinda waseme wao sasa ndiyo mabingwa halali wa CECAFA. Hizi ndiyo akili zao zilivyo ndiyo maana wanapiga kelele deile wakidhani watamzuia tembo kunywa maji.
Nyooo! Tunaijua hiyoo!Basi Red arrows wacheze na APR alf nyie mcheze na sisi ππππ
Vikao vya mbumbumbu huyo jamaa anatakiwa kukaa siti ya mbele hua anaongea mashudu tupuMakolo Kwa kijifariji ujinga hamjambo.
Safari hii sio 5 tena maana mmetukela sana hapa katikati tutawafanya kitu kibaya zaidi mpaka wajukuu zenu mtawasimulia.Thubutu....Unipige tena 5 au?
Keshakubali mapema,,,msimu huu kamati yao ya ufundi ni mdebwedo zaidi kuliko hata mwaka janaMr Ulozi bado haujaenda kufanya makeke ya Makafara?