SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ukishazijua akili ya chura wala hautasumbuka. Wanacheza na hao Wazambia ili hao vyura wakishinda waseme wao sasa ndiyo mabingwa halali wa CECAFA. Hizi ndiyo akili zao zilivyo ndiyo maana wanapiga kelele deile wakidhani watamzuia tembo kunywa maji.