Si tulitamba kuwa 'Watu Day' tutacheza na Wakubwa Wenzetu Afrika akina Al Ahly, Wydad na Esperance sasa inakuwaje tena tunacheza na Mshale Mwekundu?

Ukishazijua akili ya chura wala hautasumbuka. Wanacheza na hao Wazambia ili hao vyura wakishinda waseme wao sasa ndiyo mabingwa halali wa CECAFA. Hizi ndiyo akili zao zilivyo ndiyo maana wanapiga kelele deile wakidhani watamzuia tembo kunywa maji.
 
Tarehe 8 mtakua mabingwa wa Toyota
 
Ukishazijua akili ya chura wala hautasumbuka. Wanacheza na hao Wazambia ili hao vyura wakishinda waseme wao sasa ndiyo mabingwa halali wa CECAFA. Hizi ndiyo akili zao zilivyo ndiyo maana wanapiga kelele deile wakidhani watamzuia tembo kunywa maji.
Makolo Kwa kijifariji ujinga hamjambo.
 
Back
Top Bottom